Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] All the best mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] All the best mkuu.
Thanks Chief[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] All the best mkuu.
Sisi wacha tukahudhurie mikando naimani huu mwaka tutakutana show room boss kununua subaru ya wizzy[emoji3][emoji3][emoji3]Thanks Chief
Tupia PDF mkuu...Haya, wale mkiosubiria Wizara ya kilimo tayari majina hadharani mkapambane Usaili huko, Wale wa TPDC mambo hadharani pia
Hapo inaitwa unyama unyamani....Hao sio wengi Kama lile zigo la MDA & LGA.. Ile ilikuwa hatari Dodoma ingefurika mno.
Ila Kuna kitu nimekiona, kutokana na taasisi nyingi kuita usaili mwishoni mwa January So unakuta mtu katokea taasisi tatu na ni sehemu tofautitofauti na mida kama inafanana kimtindo.
Kuna Mashikaji wangu hapa kaitwa;
• Dodoma; Usaili mchujo ni tar 29
January, mda wa pepa ni saa 7
mchana[emoji23] hapa Oral ni kuanzia tarh 2 - 5 ferbuary
• UDSM; Usaili wa mchujo ni tar
28 January saa 1 asubuhi then
Oral ni tar 30 kama atafanikiwa
kufika Oral
• Hapohapo ana Usaili mwingine
wa Oral mojaKwaMoja tar 30
January.(Yaan ni post nyingine inajitegemea, Oral pekee)
Halafu Yuko huko Kanda ya Ziwa sijui atajigawa vipi hapa [emoji23][emoji23]
Tsg d ununue Subaru labda bajajiSisi wacha tukahudhurie mikando naimani huu mwaka tutakutana show room boss kununua subaru ya wizzy[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Au sio kaka unawrza ukaomba TGS D ukashangaa umetupiwa PRSS1[emoji3][emoji3][emoji3]Tsg d ununue Subaru labda bajaji
-ubahatike upate eGA, Tcra,nk[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Au sio kaka unawrza ukaomba TGS D ukashangaa umetupiwa PRSS1[emoji3][emoji3][emoji3]
Wizy the legend. Yupo somewhere hivi anayajengaSisi wacha tukahudhurie mikando naimani huu mwaka tutakutana show room boss kununua subaru ya wizzy[emoji3][emoji3][emoji3]
Hilo washatoa bhana.. c ndo hii ya NIRC..?Wiza ya kilimo wamebakiza RECEIVED za lile bogi la nafasi 100 za maafisa kilimo. Nakumbuka zilitangazwa july pamoja TARI.
Hayuko makini huyo mkuu, au ye Huwa anachungulia tu huko received, namba Huwa haziwekwi mapema Ila pdf ukicheck majina yamoTayari hizi mkuu TUMEITWA USAILI UDOM CIVE TAR 29 JANUARY SAA 7 MCHANA WRITTEN NA TAR 5 FEB SAA1 ORAL MIGIRO
SHTUKA CHAP. BADO KUPEWA NAMBA TU KWENYE WEB.
Zimetoka kwenye pdf refu lile la kuitwa usaili taasisi mbalimbali.
Si uingie huko kwenye web mkuu chapu tu.. MB zenyewe za kuunga tu hizi Mimi Jobless,, pdf la MB 9 si litanifirisi😂Tupia PDF mkuu...
Tpdc wameweka wapi?Haya, wale mkiosubiria Wizara ya kilimo tayari majina hadharani mkapambane Usaili huko, Wale wa TPDC mambo hadharani pia
Halafu hii ni scale ya TARI.. sijajua wanakula sh ngapi pale kwa wenye Degree na Diploma.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Au sio kaka unawrza ukaomba TGS D ukashangaa umetupiwa PRSS1[emoji3][emoji3][emoji3]
TPDC wako kwenye Hilo pdf kubwa la kuitwa usaili taasisi Mbalimbali za Umma,, kuwa shap mambo yatakupita.. Kuna watu kama wote si unajua kule Asali imekolea sukariTpdc wameweka wapi?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Eti asali imekolea sukariTPDC wako kwenye Hilo pdf kubwa la kuitwa usaili taasisi Mbalimbali za Umma,, kuwa shap mambo yatakupita.. Kuna watu kama wote si unajua kule Asali imekolea sukari
Hiyo me mwenyewe sijaijua lkn lazima itakuwa asali mbichi kbsHalafu hii ni scale ya TARI.. sijajua wanakula sh ngapi pale kwa wenye Degree na Diploma.
Jamaa wekeni basi Mishahara hiyo japo bado hatujaingia kwenye mirija(ni Suala la mda tu) mnakuwa wachoyo Hadi kwenye namba[emoji16]
DaahWizy the legend. Yupo somewhere hivi anayajenga
Mkuu ukiona wameanza kuweka namba za Usaili huko niTagDaah