Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hili swali meck pro alijibu
Mshahara utapata kama ulireport kuanza kazi kabla ya tarhe 15 maana tarifaa za watumishi huwa zinatumwa hazina kati ya tarehe 13--15 tofauti na hapo ujue ni tukutane mwezi ujayo🤣🤣🤣 so mfano nyie kama mtaanza kazi rasim mwezi huu tarehe za mwanzo ujue tarehe 23 milion zitakuhusu labda mhasibu na wanaohusika wawe wazembe tu
 
Pia kuna chaka moja la kupata japo hints, za mambo ya kusoma kwenye field husika, yaani ngoma inaandika live bila chenga, hebu jiungeni huko, mtanishukuru, hata wale walokuwa wanabishana, kuhusu elements na components za financial statement!!!

Ingieni hapa, kisha sign up, then verify, afu type swali lako.
 

Attachments

  • IMG-20230123-WA0002.jpg
    42.8 KB · Views: 12
  • Screenshot_20230123-231550_GBWhatsApp.jpg
    72.7 KB · Views: 14
Sisi tulianza kureport kwa Mwajiri tarehe 11, 13, 16 mwezi huu.

Leo ndio tumeanza Induction ambayo inaisha Ijumaa tarehe 27, baada ya hapo ndio tunasambazwa mikoani kuanza kazi, kwa hiyo mpunga kuna uwezekano wa kuusikilizia February mwishoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…