Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
5 mkuuKaka mtanolewa Siku ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
5 mkuuKaka mtanolewa Siku ngapi?
Hahahaaa, ukame bado umetaradadi.Hongera sana perdiem ina ji count mzee[emoji16]
Ahsante kwa muongozo mtumishi.jamani kwema humu nawatakieni usahili mwema mkawande utumishi hadi washangae
placement itafanya jambo jema wala usijalinanyanyapaliwa ndugu yangu
Tayari, mimi leo nimeikuta, jana ilikuwa bado received.Balozi limited hizi namba za Usaili niadjeh mbona Hadi Leo kimya siku ya 3 leo..
Vipi ww umepata...???
Huyo alikua anaenjoy na wizy mzee wa Subaru Sasa anataka achukue Hela Zangu ahaaaa nimeshitukia mchezoplacement itafanya jambo jema wala usijali
Mshahara utapata kama ulireport kuanza kazi kabla ya tarhe 15 maana tarifaa za watumishi huwa zinatumwa hazina kati ya tarehe 13--15 tofauti na hapo ujue ni tukutane mwezi ujayo🤣🤣🤣 so mfano nyie kama mtaanza kazi rasim mwezi huu tarehe za mwanzo ujue tarehe 23 milion zitakuhusu labda mhasibu na wanaohusika wawe wazembe tuHili swali meck pro alijibu
Ivi kwa nini huwa mnadanganya? Mnafaidika nini?Labda nilikudanganya.. inatokana na swali lako uliuliza kwa muktadha upi
Bwana kitenge tusamehe🤣🤣🤣🤣Ivi kwa nini huwa mnadanganya? Mnafaidika nini?View attachment 2493461
Hili swali meck pro alijibu
portal.ajira.go.tz
Nafasi hizo chuo cha udom wale wenye vigezo ongezeni receivedRecruitment Portal
portal.ajira.go.tz
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo alikua anaenjoy na wizy mzee wa Subaru Sasa anataka achukue Hela Zangu ahaaaa nimeshitukia mchezo
Sawa wacha nieendelee kusali tuKm matokeo hayajatoka usije Lata tamaa kuna Miracle uwaga zinatoke na Hzo ndy nyakat sahihi.
Acha watu wakufikirie vby lkn Usiwahi kujifikiria au kujiwazia Mabaya we mwenyew ili ni kosa sn Mpk Kiimani
Ila hata kikifungwa wale ambao wameshapata ajira hapo awawezi kufukuzwa bali wataamishiwa vyuo vingine vya SerikaliHalafu chuo chenyewe kishaanza kuwa na magumashi sijui sijui kama hakitosimamishwa kwa mujibu wa hii habari
Karibu na hazina paleWanalijenga sehemu gani?
Sisi tulianza kureport kwa Mwajiri tarehe 11, 13, 16 mwezi huu.Mshahara utapata kama ulireport kuanza kazi kabla ya tarhe 15 maana tarifaa za watumishi huwa zinatumwa hazina kati ya tarehe 13--15 tofauti na hapo ujue ni tukutane mwezi ujayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] so mfano nyie kama mtaanza kazi rasim mwezi huu tarehe za mwanzo ujue tarehe 23 milion zitakuhusu labda mhasibu na wanaohusika wawe wazembe tu