ikiwa selected for oral haibadiliki tena kwan?Inaanza shortlisted for written interview
Ukitoboa written kwenda practical ni selected for practical interview,
Ukitopoa practical inakuja selected for aral interview inakomeaga hapo
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ndio inabaki hivyo mpaka pdfikiwa selected for oral haibadiliki tena kwan?
okay. thanks
Na kwenye placements na wengine wakabaki pia?Mm nmefanya interview ..tulofanya tulikua wachache kuliko nafas zlizotangazwa na bado hatukuchukuliwa wote kuna watu panga liliwapitia kwenye oral nafas zkapelea kibao
Asante sana Kiongozi.Inaanza shortlisted for written interview
Ukitoboa written kwenda practical ni selected for practical interview,
Ukitopoa practical inakuja selected for aral interview inakomeaga hapo
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ooohh poleni Sana...Ila Ungeondoa hiyo Avatar aiseeMechanical Engineer
MKUTANO WA KUSAKA MRIJA WA ASALI TAKUKURU UMENIKUMBUSHA MACHUNGU MKUU😂[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Usaili wa kazi nchini Kenya leo hii.View attachment 2495027
🤣Ooohh poleni Sana...Ila Ungeondoa hiyo Avatar aisee
Toa maoni kule mzee wametoa uwanja wa kutoa maoniHivi wadau mnaonaje psrs wawe wanaweka matokeo ya oral wazi kama ilivyo matokeo ya prac au mchujo? Na kama mtu yuko database akijulishwa pia sipoa tu? Mnaonaje?
Hii n kweli?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Usaili wa kazi nchini Kenya leo hii.View attachment 2495027
Nadhani la kuweka matokeo ya Oral kwa namba Ile Ile mtu aliyofanyia Written interview baada usaili wa mahojiano kuisha ingependeza, mtu unarudi nyumbani Huku unajua kama umefaulu au kutofaulu ungojee placement au lah yakupasa uendelee na safari za usaili Tena.Hivi wadau mnaonaje psrs wawe wanaweka matokeo ya oral wazi kama ilivyo matokeo ya prac au mchujo? Na kama mtu yuko database akijulishwa pia sipoa tu? Mnaonaje?
Sure coz it’s psychological torture kusubiri usichikijua kwa mda mrefuNadhani la kuweka matokeo ya Oral kwa namba Ile Ile mtu aliyofanyia Written interview baada usaili wa mahojiano kuisha ingependeza, mtu unarudi nyumbani Huku unajua kama umefaulu au kutofaulu ungojee placement au lah yakupasa uendelee na safari za usaili Tena.
Kwani naona kinatokea kitu mtu umefanya oral lakini hujui kama utakuwepo ndani ya placement au haumo, katikati Tena unaitwa usaili a unaenda Huku hujui hatma yako ya mwanzo ikoje...
Wangetoa matokea ya Oral kwa namba hata kama watachelewesha placement ambayo itakuwa na Majina ya wahusika Haina tatizo naona,kwani mtu unakuwa unajua nafasi tayari ushapata utulie tu kusubiri PDF la placement....
Sekretarieti ya Ajira
sahihi kabisa mkuu ,sijui hivi vitu vinakwama wapi ,usaili unaenda chap kwa haraka lakini placement zinachelewa baadhi ya Taasisi hii inaukakasi sana utakuta mtu anahangaika kufanya saili zingine baadae placement inatoka ya mwanzo kabahatika ,result after oral ni muhimu kabisaNadhani la kuweka matokeo ya Oral kwa namba Ile Ile mtu aliyofanyia Written interview baada usaili wa mahojiano kuisha ingependeza, mtu unarudi nyumbani Huku unajua kama umefaulu au kutofaulu ungojee placement au lah yakupasa uendelee na safari za usaili Tena.
Kwani naona kinatokea kitu mtu umefanya oral lakini hujui kama utakuwepo ndani ya placement au haumo, katikati Tena unaitwa usaili a unaenda Huku hujui hatma yako ya mwanzo ikoje...
Wangetoa matokea ya Oral kwa namba hata kama watachelewesha placement ambayo itakuwa na Majina ya wahusika Haina tatizo naona,kwani mtu unakuwa unajua nafasi tayari ushapata utulie tu kusubiri PDF la placement....
Sekretarieti ya Ajira
Sio poa aiseeSure coz it’s psychological torture kusubiri usichikijua kwa mda mrefu
Kuna mtu ashawahi pata status ya not selected for null, let usguSTATUS again. Waliosema baada ya oral wote mnakua na status moja bila kujali umekandwa au umekanda hata mara baada ya PDF ya placement, mjadala unahitimishwa kwa comment hiyo. Status zipo mbili. "Selected for null" endelea kufunga na kuomba Mungu utokee kwenye pdf au uwekwe pending kwenye database. "Not selected for null"....kajipange upya
🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️Kuna mtu ashawahi pata status ya not selected for null, let usgu
ZipoKuna mtu ashawahi pata status ya not selected for null, let usgu
Kuna yoyote amewahi pata status ya not selected for null after oral? Lete factSTATUS again. Waliosema baada ya oral wote mnakua na status moja bila kujali umekandwa au umekanda hata mara baada ya PDF ya placement, mjadala unahitimishwa kwa comment hiyo. Status zipo mbili. "Selected for null" endelea kufunga na kuomba Mungu utokee kwenye pdf au uwekwe pending kwenye database. "Not selected for null"....kajipange upya
Mkuu, unasema tu kwa kuwa haupo ndani ya mfumo(yaan cabinet yao)Nadhani la kuweka matokeo ya Oral kwa namba Ile Ile mtu aliyofanyia Written interview baada usaili wa mahojiano kuisha ingependeza, mtu unarudi nyumbani Huku unajua kama umefaulu au kutofaulu ungojee placement au lah yakupasa uendelee na safari za usaili Tena.