Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hivi wadau mnaonaje psrs wawe wanaweka matokeo ya oral wazi kama ilivyo matokeo ya prac au mchujo? Na kama mtu yuko database akijulishwa pia sipoa tu? Mnaonaje?
Nadhani la kuweka matokeo ya Oral kwa namba Ile Ile mtu aliyofanyia Written interview baada usaili wa mahojiano kuisha ingependeza, mtu unarudi nyumbani Huku unajua kama umefaulu au kutofaulu ungojee placement au lah yakupasa uendelee na safari za usaili Tena.

Kwani naona kinatokea kitu mtu umefanya oral lakini hujui kama utakuwepo ndani ya placement au haumo, katikati Tena unaitwa usaili a unaenda Huku hujui hatma yako ya mwanzo ikoje.

Wangetoa matokea ya Oral kwa namba hata kama watachelewesha placement ambayo itakuwa na Majina ya wahusika Haina tatizo naona,kwani mtu unakuwa unajua nafasi tayari ushapata utulie tu kusubiri PDF la placement.

Sekretarieti ya Ajira
 
Nadhani la kuweka matokeo ya Oral kwa namba Ile Ile mtu aliyofanyia Written interview baada usaili wa mahojiano kuisha ingependeza, mtu unarudi nyumbani Huku unajua kama umefaulu au kutofaulu ungojee placement au lah yakupasa uendelee na safari za usaili Tena.
Kwani naona kinatokea kitu mtu umefanya oral lakini hujui kama utakuwepo ndani ya placement au haumo, katikati Tena unaitwa usaili a unaenda Huku hujui hatma yako ya mwanzo ikoje...
Wangetoa matokea ya Oral kwa namba hata kama watachelewesha placement ambayo itakuwa na Majina ya wahusika Haina tatizo naona,kwani mtu unakuwa unajua nafasi tayari ushapata utulie tu kusubiri PDF la placement....
Sekretarieti ya Ajira
Sure coz it’s psychological torture kusubiri usichikijua kwa mda mrefu
 
Nadhani la kuweka matokeo ya Oral kwa namba Ile Ile mtu aliyofanyia Written interview baada usaili wa mahojiano kuisha ingependeza, mtu unarudi nyumbani Huku unajua kama umefaulu au kutofaulu ungojee placement au lah yakupasa uendelee na safari za usaili Tena.
Kwani naona kinatokea kitu mtu umefanya oral lakini hujui kama utakuwepo ndani ya placement au haumo, katikati Tena unaitwa usaili a unaenda Huku hujui hatma yako ya mwanzo ikoje...
Wangetoa matokea ya Oral kwa namba hata kama watachelewesha placement ambayo itakuwa na Majina ya wahusika Haina tatizo naona,kwani mtu unakuwa unajua nafasi tayari ushapata utulie tu kusubiri PDF la placement....
Sekretarieti ya Ajira
sahihi kabisa mkuu ,sijui hivi vitu vinakwama wapi ,usaili unaenda chap kwa haraka lakini placement zinachelewa baadhi ya Taasisi hii inaukakasi sana utakuta mtu anahangaika kufanya saili zingine baadae placement inatoka ya mwanzo kabahatika ,result after oral ni muhimu kabisa
 
STATUS again. Waliosema baada ya oral wote mnakua na status moja bila kujali umekandwa au umekanda hata mara baada ya PDF ya placement, mjadala unahitimishwa kwa comment hiyo. Status zipo mbili. "Selected for null" endelea kufunga na kuomba Mungu utokee kwenye pdf au uwekwe pending kwenye database. "Not selected for null"....kajipange upya
Kuna mtu ashawahi pata status ya not selected for null, let usgu
 
STATUS again. Waliosema baada ya oral wote mnakua na status moja bila kujali umekandwa au umekanda hata mara baada ya PDF ya placement, mjadala unahitimishwa kwa comment hiyo. Status zipo mbili. "Selected for null" endelea kufunga na kuomba Mungu utokee kwenye pdf au uwekwe pending kwenye database. "Not selected for null"....kajipange upya
Kuna yoyote amewahi pata status ya not selected for null after oral? Lete fact
 
Nadhani la kuweka matokeo ya Oral kwa namba Ile Ile mtu aliyofanyia Written interview baada usaili wa mahojiano kuisha ingependeza, mtu unarudi nyumbani Huku unajua kama umefaulu au kutofaulu ungojee placement au lah yakupasa uendelee na safari za usaili Tena.
Kwani naona kinatokea kitu mtu umefanya oral lakini hujui kama utakuwepo ndani ya placement au haumo, katikati Tena unaitwa usaili a unaenda Huku hujui hatma yako ya mwanzo ikoje...
Wangetoa matokea ya Oral kwa namba hata kama watachelewesha placement ambayo itakuwa na Majina ya wahusika Haina tatizo naona,kwani mtu unakuwa unajua nafasi tayari ushapata utulie tu kusubiri PDF la placement....
Sekretarieti ya Ajira
Mkuu, unasema tu kwa kuwa haupo ndani ya mfumo(yaan cabinet yao)
Kuweka Matokeo ya kufaulu Oral moja kwa moja kutaleta migogoro.. just imagine kama ile kanuni yao kuwa watu wakilingana marks basi Mwanamke au mwenye Umri mkubwa anapewa nafasi.. So vitu kama hv vingileta mtafaruku na watu wangedai wapewe placement kwa lazima ilhali nafasi hamna, eeeeh si kwa kuwa wamefaulu na wao, lazima wadau..!!!

Kwanza kumbukeni kuwa huu mfumo wa database wenyewe ndo wameuanzisha.. wangeamua kukacha tu watu na kuita saili Kila Ajira zinavyotoka hata kama ni 1 mngefanya nn..?
Hapa naona subrah ndio Kila kitu, kikubwa tunavyokwenda kupiga Usaili tujiandae vizuri ili tuwe na uhakika wa kufaulu na kubaki kanzidata kama sio kupata mojaKwaMoja.

Hv fikiria umeoneshwa majibu yako na umefaulu vizuri ukaambiwa uko database, Mwaka mzima umepita nafasi ya kuchomekwa(sio kuchomekwa mnayojua ninyi😂😂)haijapatokana hapo lazima zogo lianze dadeq😁.

Bado sijapata placement Ila hii issu kwangu naona ibaki kama ilivyo.
 
Back
Top Bottom