Aah kumbe. sawa ngoja nisubir maana nikikumbuka ile minyukano tokea written ilikua sio ya kitoto.Umefaulu Oral (above 50)
Kupata nafasi, hapo sasa inategemea na wenzako walivyofaulu.
Subiria PDF
Ukishamaliza written, habari imeisha hapo hapo.Aah kumbe. sawa ngoja nisubir maana nikikumbuka ile minyukano tokea written ilikua sio ya kitoto.
kwani wanajumlisha maksi zote tokea written au wanaangalia oral tu ?
sawa. hapo nmeelewaUkishamaliza written, habari imeisha hapo hapo.
Oral inajitegemea mkuu, ila kama usaili ulihusisha prac hapo ndo wanajumlisha oral na prac
Wanatuchanganya Kama nectandugu yangu kwa sasa tuendelee kumuomba Mwenyezi Mungu tu, tuvute subra
Kabisa kakaNa app ndo inasema ukweli
Hassan Kitenge anawatakia mchana mwema
[emoji23][emoji23][emoji23]nami pia namtakia sikunjemaHassan Kitenge anawatakia mchana mwema
Wakijumlisha prac na oral inabidi ufikishe ngap?Ukishamaliza written, habari imeisha hapo hapo.
Oral inajitegemea mkuu, ila kama usaili ulihusisha prac hapo ndo wanajumlisha oral na prac
Mbona sisi walitwambia ukiona interview haitumii namba inatumia majina jua haina uhusiano na chochote oral inajitegemea ndo maana kule namba hazitumiki ni majinaWakijumlisha prac na oral inabidi ufikishe ngap?
Au wanajumlisha na kugawanya kwa mbili?
Duh sijakuelwa mkuu em niffnulie vzrMbona sisi walitwambia ukiona interview haitumii namba inatumia majina jua haina uhusiano na chochote oral inajitegemea ndo maana kule namba hazitumiki ni majina
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hii inaweza ikawepo, kitengo cha takwimu. Kaz zote lazma zipite psrs kua makini...Naomba kuuliza TPA kuna department ya data collectors??? Au nmepigwa za uso
Ila ukisoma kwenye Sheria zao, zinawahitaji kujumlisha marks za oral na prac kama saili hiyo ilikuwa na mtihan wa prac.. rejea kweny PDF ya Sheria zao za kaziMbona sisi walitwambia ukiona interview haitumii namba inatumia majina jua haina uhusiano na chochote oral inajitegemea ndo maana kule namba hazitumiki ni majina
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
📌Ila ukisoma kwenye Sheria zao, zinawahitaji kujumlisha marks za oral na prac kama saili hiyo ilikuwa na mtihan wa prac.. rejea kweny PDF ya Sheria zao za kazi
PDF la placement linanukia Leo....
Yakunle
Ndo vitu Mimi nataka ili tusiendelee kumaliza pesa kwa nauli za Usaili..PDF la placement linanukia Leo....
Yakunle