Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakijumlisha prac na oral inabidi ufikishe ngap?
Au wanajumlisha na kugawanya kwa mbili?
Mbona sisi walitwambia ukiona interview haitumii namba inatumia majina jua haina uhusiano na chochote oral inajitegemea ndo maana kule namba hazitumiki ni majina

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Ila ukisoma kwenye Sheria zao, zinawahitaji kujumlisha marks za oral na prac kama saili hiyo ilikuwa na mtihan wa prac.. rejea kweny PDF ya Sheria zao za kazi
 
PDF la placement linanukia Leo....
Yakunle
PDF la placement linanukia Leo....
Yakunle
Ndo vitu Mimi nataka ili tusiendelee kumaliza pesa kwa nauli za Usaili..

Nakumbuka December wakati tupo Ora interview pale Asha Rose Migiro Kuna jamaa alikula kona baada ya kufungua simu akakuta placements na jina lake lipo, kada yao ilikuwa na watu wachache wala hawakuporwa Simu, so walikuwa wanaendelea kutumia huku wakisubiri Interview panel ianze kuwaita mmojammoja, kumbuka hyo ilikuwa ni saili yake aliyofanyia nyuma. Basi akaamua kuwaaga washiriki wenzie pale, akasema atakuja kesho kuchukuwa barua tu.

So ilikuwa poa sana maana aliwaachia wengine wapambanie riziki offcoz yule jamaa alikuwa wa kwanza kwenye Matokeo yao ya Written yuko bright sana.

Sasa nadhan ashaanza kazi Kila la kheri na kazi njema huko aliko
 
Back
Top Bottom