Mzee wa flash yuko likizo nyasa ukosalama, cjui huko kwenye kitufe cha placement
[emoji134][emoji23][emoji23] aisee arudi maana vijana wanawaza placement kuliko ela
Vijana wanataka wajue hatma zao mapema...[emoji134][emoji23][emoji23] aisee arudi maana vijana wanawaza placement kuliko ela
Amesema vijana hawamlipi lazima atumikie likizo yake kwanza tukutane mwezi wa nne[emoji134][emoji23][emoji23] aisee arudi maana vijana wanawaza placement kuliko ela
Sijalamba kaka, nivile mwifwa kani address kama mlamba asali so i was replying kama mlamba asali. Mm ni msaka tonge kama wengine humu.Lini ulilamba asali maana hukuleta shuhuda?
Halafu umepotea siku za hivi karibuni...Sijalamba kaka, nivile mwifwa kani address kama mlamba asali so i was replying kama mlamba asali. Mm ni msaka tonge kama wengine humu.
Kuna mda mambo yanakua mengi, ila tunajitaidi kurudi kundini, tupo pamoja kaka, TO THE END.Halafu umepotea siku za hivi karibuni...
Unasubiri placement au ndio ushalamba asali...Kuna mda mambo yanakua mengi, ila tunajitaidi kurudi kundini, tupo pamoja kaka, TO THE END.
PlacementUnasubiri placement au ndio ushalamba asali...
Nikajua mnasheherekea pm.....Placement
Ngoja tuendelee kusubiri wote aseePlacement
Kaka angalia status kwenye app
Zina nini?Kaka angalia status kwenye app
Umeongea maneno ya hekima sana...Kuzunguka kote huku, lengo ni kuwasalimia.
Pamoja na hilo, nawakumbusha sana ndugu zangu jobless kusudi kubwa kuliko yote la haya mapambano ni kutafuta pesa na uhakika wa kupata pesa wala sio kutafuta ajira.
Ambao wameshaingia kwenye mrija wa asali watanielewa zaidi, baada ya muda mfupi wa kuwepo kazini, kuna mapambano mapya yataibuka, ikiwemo kuona mshahara haukidhi mahitaji pamoja na kuhisi majukumu ya ajira yanakubana kushindwa kupata pesa zaidi. Huwa inafika hatua watu wanatamani wangepata kazi taasisi nyingine zinazolipa zaidi au hata kuwatamani waliojiajiri na wanaingiza pesa nyingi kila kukicha. Ukifanya mchezo unakuwa mwizi. Shida ni kuna taasisi hata ukiamua uwe mwizi, hakuna cha kuiba.
Ninachomaanisha ni wakati unasaka ajira na hata baada ya kuipata, usiache kuufungua ubongo kutazama na fursa nyingine zinazoweza kukufanya upate pesa au kukujenga kuja kuingiza pesa nyingi huko mbeleni.
Tupambanie ajira lakini, ajira zisituzibe macho tukasahau tunachokitafuta hasa ni pesa sio ajira.
Ukianzia oral kwa web unaandikiwa Shortlisted for Oral interview na sio selected.status zake zipoje
upo sahihi na kuna wakati unaweza kujuta baadhi ya sekta kwamba ni bora hata ungejichanganya ukafanya mbilinge zako mtaaniKuzunguka kote huku, lengo ni kuwasalimia.