Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu unaitupia hilo mimi tena, hii ilikia hoja "yenu", wewe na dada, toa ufafanuzi hapa, "heavy red color tie" ama "mixed red colored" ipi ina nafuu, protocally? 🤪
Hahah tie nyekundu tu kiongozi
Ukilambaa unalambwa na asali hulambiii 😂
 
Kaka dont take it serious, tulikua tunatania, sometimes tunajifariji tunapunguza stress za placement.
 
Kaka dont take it serious, tulikua tunatania, sometimes tunajifariji tunapunguza stress za placement.
Mwambie huyo utofauti uliopo, kuna kupendeza na kuwa smart(nadhifu) kulingana na matakwa ya kada husika,

Kupendeza hata ukivaa "kipensi" au "jinsi michanikio" sandals na flana flana unakua umependeza.

Kuwa smart katika interview ni zaidi ya kupendeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…