Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwani kupendeza si ndio usmart huo? Nani alimwambia boss hasipendeze? Naona hakuna correlation baina ya kupendeza, kuvaa tai na kukosa kazi. Naamini kama ipo ipo tu na kama haipo haipo tu. All in all wakati wa Mungu ndio sahihi na sawa regardless what.

Kumbuka pia, Kuna wengine hawajavaa tie na still walipendeza sana kuliko boss, so kuva au kutokuva atie haina uhusiano na kupata au kukosa kazi.

Don't worry about how it will happen, Trust God that it will.[emoji120]
Kaka dont take it serious, tulikua tunatania, sometimes tunajifariji tunapunguza stress za placement.
 
Kaka dont take it serious, tulikua tunatania, sometimes tunajifariji tunapunguza stress za placement.
Mwambie huyo utofauti uliopo, kuna kupendeza na kuwa smart(nadhifu) kulingana na matakwa ya kada husika,

Kupendeza hata ukivaa "kipensi" au "jinsi michanikio" sandals na flana flana unakua umependeza.

Kuwa smart katika interview ni zaidi ya kupendeza.
 
Back
Top Bottom