Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Imagine katika watu 600+ walioitwa written Agricultural Officer grade 2 wameofika kwenye usaili wa kuandika ni 352 na wahaohitajika kazini ni 100, na wakichukua oral 300 kwa ratio ya 1:3 kazi nje nje. Mungu awatangulieWatu walirespond au mlikuwa wachache tu
Wote wamefanyia dom? au kwa Zones?Imagine katika watu 600+ walioitwa written Agricultural Officer grade 2 wameofika kwenye usaili wa kuandika ni 352 na wahaohitajika kazini ni 100, na wakichukua oral 200 kwa ratio ya 1:3 kazi nje nje. Mungu awatangulie
Duuuh aiseh hii sio kawaida sijajua why nyomi kubwa sana haikufika hapoImagine katika watu 600+ walioitwa written Agricultural Officer grade 2 wameofika kwenye usaili wa kuandika ni 352 na wahaohitajika kazini ni 100, na wakichukua oral 200 kwa ratio ya 1:3 kazi nje nje. Mungu awatangulie
Hii ngoma dom tuWote wamefanyia dom? au kwa Zones?
Kila laheri wakuu, Mimi ishachezea ndoige moja hapa, hebu nisubiri pdf, siyo kwa urahisi wa pepa ya jana afu ndoige round ya kwanza tu.Hii ngoma dom tu
Ilikua ipi mkuuKila laheri wakuu, Mimi ishachezea ndoige moja hapa, hebu nisubiri pdf, siyo kwa urahisi wa pepa ya jana afu ndoige round ya kwanza tu.
Lab scientist ii, Aquatic Sciences-udsm hiyoIlikua ipi mkuu
TGSD huku una mkopo wa bodi na hakuna perdiem wala rapsha-rapsha, inapelekea watu kukata tamaa. Hii scale ni kandamizi sana. Serikali moja lakini hakuna uwiano au ukaribiano wa mishahara ya graduates kwa entry level. Mwingine anaanza na over 1m mpaka 2m, mwingine 700kYeah kaka posibility ni kubwa sana, Mungu atusaidie tuvuke passmark yao tu, na hata maengineer walikuwa wachache sana, niliona madem wawili tu wengine wote men[emoji3][emoji3][emoji3]
Wachache sana wale naona tgsD wana ikwepa wadau[emoji3][emoji3][emoji3][emoji848]
Hapo kweli kk, lkn nadhani mwenye kazi ya uhakika ndio atalitambua hili, kwa jobless kukaa mtaani sio poa lazima tuwepo...TGSD huku una mkopo wa bodi na hakuna perdiem wala rapsha-rapsha, inapelekea watu kukata tamaa. Hii scale ni kandamizi sana. Serikali moja lakini hakuna uwiano au ukaribiano wa mishahara ya graduates kwa entry level. Mwingine anaanza na over 1m mpaka 2m, mwingine 700k
Mshapewa na result mkuu chap tu?Lab scientist ii, Aquatic Sciences-udsm hiyo
Huko kwenye Account ni not selected, sijui cut off ilikuwa ngapi...Mshapewa na result mkuu chap tu?
matokeo yashatoka auHuko kwenye Account ni not selected, sijui cut off ilikuwa ngapi...
Kwenye Account tayari.V
matokeo yashatoka au
Kabisa kk unajibu angalau za kubangaiza lkn unajibu inatia matumaini kbs
Kweli kakaMkuu mrija wa asali uko karibu kuliko unavyofikiria yani trust me.
Daaah yamekaa sana ila nahis next week uhakikaYaelekea zile paper za MDA & LGA zinasahihishwa neno kwa neno,maana mpaka leo kimya hawajatoa results.
au wameyapoteza hahaYaelekea zile paper za MDA & LGA zinasahihishwa neno kwa neno,maana mpaka leo kimya hawajatoa results.
Ha ha huenda mkuuau wameyapoteza haha