Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Imagine katika watu 600+ walioitwa written Agricultural Officer grade 2 wameofika kwenye usaili wa kuandika ni 352 na wahaohitajika kazini ni 100, na wakichukua oral 200 kwa ratio ya 1:3 kazi nje nje. Mungu awatangulie
Duuuh aiseh hii sio kawaida sijajua why nyomi kubwa sana haikufika hapo
 
Ilikua ipi mkuu
Lab scientist ii, Aquatic Sciences-udsm hiyo
20230129_104941.jpg
 
Yeah kaka posibility ni kubwa sana, Mungu atusaidie tuvuke passmark yao tu, na hata maengineer walikuwa wachache sana, niliona madem wawili tu wengine wote men[emoji3][emoji3][emoji3]
Wachache sana wale naona tgsD wana ikwepa wadau[emoji3][emoji3][emoji3][emoji848]
TGSD huku una mkopo wa bodi na hakuna perdiem wala rapsha-rapsha, inapelekea watu kukata tamaa. Hii scale ni kandamizi sana. Serikali moja lakini hakuna uwiano au ukaribiano wa mishahara ya graduates kwa entry level. Mwingine anaanza na over 1m mpaka 2m, mwingine 700k
 
Hapo kweli kk, lkn nadhani mwenye kazi ya uhakika ndio atalitambua hili, kwa jobless kukaa mtaani sio poa lazima tuwepo...
 
Back
Top Bottom