Nna wajua intern wengi TRA sijui kwa kadi nyingine ila kwa kada yangu lazima uingie kwenye interview PSRS hakuna mkatoKama ulikua hujui, note hilo. Hata TRA kuna wakati wanachukuaga intern wao pale wanapopewa kibali cha ajira. Nafasi zitatangazwa zote ila baadhi ya watu hawatapangiwa kazi na psrs, bali TRA.
Siku hizi hamna hicho kitu intern anafanya interview na watu wengine ajira zikitangazwa .Nna wajua intern wengi TRA sijui kwa kadi nyingine ila kwa kada yangu lazima uingie kwenye interview PSRS hakuna mkato
Kabisa mtaalamu siku izi mambo kidogo yamebadilikaSiku hizi hamna hicho kitu intern anafanya interview na watu wengine ajira zikitangazwa .
Na akijichanganya analiwa kichwa mapema .
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hizo ni kazi za mkataba temporary within taasisi renewable within six months au 1 year....mimi mwenyewe nilishawahi pitia humo ila ajira ya kudumu lazima upite PSRS au uwe na connection nzito.Kama ulikua hujui, note hilo. Hata TRA kuna wakati wanachukuaga intern wao pale wanapopewa kibali cha ajira. Nafasi zitatangazwa zote ila baadhi ya watu hawatapangiwa kazi na psrs, bali TRA.
Taasisi zenye vibali vya kuajiri wenyewe kama tanesco nk ndo wanaajiri kwa style hiyo ila wengine unaweza kua unajitolea sehemu fulani ikatangazwa nafasi yako na usitoboe akaja mtu mwingine ambaye ulifanya naye interview, hizi case zimetokea mara mbili kwenye nafanya internship akiwepo mpwa wa aliyekua mkurugenzi mtendajiHizo ni kazi za mkataba temporary within taasisi renewable within six months au 1 year....mimi mwenyewe nilishawahi pitia humo ila ajira ya kudumu lazima upite PSRS au uwe na connection nzito.
Yah inawezekana kabisa hata kama unafanya internship hio taasisi na ukifka oral na bado wakakutemaTaasisi zenye vibali vya kuajiri wenyewe kama tanesco nk ndo wanaajiri kwa style hiyo ila wengine unaweza kua unajitolea sehemu fulani ikatangazwa nafasi yako na usitoboe akaja mtu mwingine ambaye ulifanya naye interview, hizi case zimetokea mara mbili kwenye nafanya internship akiwepo mpwa wa aliyekua mkurugenzi mtendaji
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
DUnia haiko fair au wewe ndio hauko fair !?Yn mtu anapat kazi taasisi A haridhiki anaenda kufny usaili tena anapata B hardhiki anaenda tena anapata C wengne wansbria tu mpk jamaa aridhike kweli dunia haiko fair kbsa
Hapa PSRS km ingewapendea wangejitahid sn kwny kumbukumbu zao mtu akipata Placement Acc yake Ibadilike na kusiwe na Option tena ya Kuapply kaz yoyote mpk Kwa muda Flan ndy aweze kuapply ili kupunguza nafas anazoacha Wazi baada ya kupata Multiple Placements
Maana unakuta mtu yupo Kanzidata mpk muda wakukaa huko unaisha na nafasi ya kazi haijapatikana Kwa 7b ya hawa wenye placements Zaid ya 2
Nna wajua intern wengi TRA sijui kwa kadi nyingine ila kwa kada yangu lazima uingie kwenye interview PSRS hakuna mkato
Permanent Secretary a.k.a katibu mkuu wa wizara ya afyaWADAU VIPI HUU MCHONGO BARUA INAANDIKWA KWENDA KWA NANI? NI KATIBU MKUU AMA HR? NAOMBENI MNIELEWESHE
Shida sio kwenda Moja lkn Usitegemee Nafasi Moja tu kweny hizo Kaz 99 alizopata zinaweza kufanyiwa Replacement (au Readvertised) Kwa muda mfupiUkiwa na placement zaidi ya moja mzee Kuna siku unapewa zakuripoti kazini zikipita hujaripoti hiyo nafasi yako anapewa mtu mwingine. Hata awe na placement 100 mwisho wa siku ataenda ripoti sehemu moja
Ukweli ni kwamba oral wote walichukuliwaIntern akifanikiwa kwenda oral ametoboa coz wanaointerview ni wafanyakazi wa TRA. Na jamaa angu alikua anapiga intern Ilala pale TRA. Alipiga written akatoboa oral akakutana na maofisa wa2 wa palepale Ilala akapata kazi ilikua ni zile post za mwezi April-2022.
Akanambia interns waliofanikiwa kwenda oral wote walitoboa walipata kazi.
Wazee wa TPDC tupeni mrejesho
Sent from my SM-A12
TANESCO wanapitia psrs , taasisi zinazoajiri zenyewe nadhani ni mbili tu ambao ni BOT na Tanroad ,Taasisi zenye vibali vya kuajiri wenyewe kama tanesco nk ndo wanaajiri kwa style hiyo ila wengine unaweza kua unajitolea sehemu fulani ikatangazwa nafasi yako na usitoboe akaja mtu mwingine ambaye ulifanya naye interview, hizi case zimetokea mara mbili kwenye nafanya internship akiwepo mpwa wa aliyekua mkurugenzi mtendaji
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Swali halijakamilika hilo kwakifupi halieleweki jaribu kuandika vizuriHivi kwenye oral ukiulizwa mention source document,utajibuje hili swali wandugu? msaada
Hizo number nahis n reference kutokana na Maombi yalivyotumwaIvi wakuu mna idea yoyote khs numbering wanafuata utaratibu gani?!
Pdf inakua alphabetical. Ila number sio mfano (real) A anakua 017 E anakua 015 na M anapewa 002?