Kama hawakuambiwa tarehe exactly ya oral basi watulie, tatizo kubwa ni subira hii ni kikwazo kwa vijana wengi sana, wewe kaa tulia usubirie miongozo.Ratiba ilieleza kuwa itachukua zaidi ya siku 20 kupata matokeo?
Kipi kimekufanya uamini kuwa hawa "sript" zao zipo nyingi, ni majina ya shortlist au umepata attendance walioitika na kuhudhuria usaili?
Placement kuchelewa baada ya oral ndio issue kubwa, sasa huoni kadiri matokeo ya written yanavyochelewa yatazidi kupelekea kuchelewa kwa oral na plecement kuchelewa baada ya oral na kuwa issue kubwa zaidi?
Script ni paper za kusahihisha.Script mnamanisha mtofautiano wa tarehe kwa kada tofauti tofauti wakati wa oral.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mkuu aking'aka wanasema eti ni jobless mwenye hasira [emoji1787]Script ni paper za kusahihisha.
Shida vijana tulio wengi tukishakua shortlisted tunaanza kujiona ofisini sasa mambo yanapokua hayaendi haloo unaweza kuchanganyikia especially watu tunaopitia kioindi kigumu cha maisha .Kama hawakuambiwa tarehe exactly ya oral basi watulie, tatizo kubwa ni subira hii ni kikwazo kwa vijana wengi sana, wewe kaa tulia usubirie miongozo.
Naamini hata wewe hapo ulipo una kitu cha kufanya cha kukuingizia kipato hivyo hutegemei tu huko utumishi.so tusiitane majina ya ajabu ajabu please..Haha kaka wanasema we ndo jobless mwenye hasira kali
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
yeah tunasubr tujueNaona wazee wa selected for null wanaona cku aziendi wakisubir PDF kwa ham
Fala tu huyo hana lolote [emoji16] hasira zake akapelekee utumishi kwa nini hawajamuajiriHaha kaka wanasema we ndo jobless mwenye hasira kali
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ndio kazi yangu kukufatilia nakujua umemuoa shangazi yangu kwenye ukoo wetuYaelekea unanijua sana mzee?maana binafsi sijijui kama unavyonijua wewe.
Chapa kazi, acha kujipa kazi za kufuatilia watu wa mitandaoni tena usiowajua kama wa humu jf.
Tusiwe siriazi sanaaa aisee, unajua hata utumushi nao sasahv wameanza kuwa ni watu waelewa, wanafanya viutani kidogo ili mradi ujisikie wewe ni mtanzania huru.....Sasa hili swali lako unataka akujibu kuwa anasema uongo?
Ebu muwe mnauliza vitu vyenye mantiki.
Swali la Education Background;Ni vzr zaid tukaanza na olevel au college kwenye education background ya tell us about yourself wakuu majibu hapo?
selected for null inamaanisha nini ?Naona wazee wa selected for null wanaona cku aziendi wakisubir PDF kwa ham
Nhif, idara za maji zote, tanesco Tanroad. NEC etc , TU waache TU wao wafanye usajili.Yaah nadhani BOT ndo waliobaki pekee, Tanroads upande wa ajira za mkataba tu ndo wanaajiri wao kama wao ila kwa nafasi za ajira ya moja kwa moja wako psrs
Unapolipa kwa control number ya sirikali , mzigo unasoma kwenye server za ofic zaoWanajihusisha na nini kwanza hawa? tupo nao karibu hapa sijajua wanachojihusisha nacho
Tunachangamshana humu na kuwekana sawa,don't take it personally mkuu.Tusiwe siriazi sanaaa aisee, unajua hata utumushi nao sasahv wameanza kuwa ni watu waelewa, wanafanya viutani kidogo ili mradi ujisikie wewe ni mtanzania huru.....
Uniwie radhi pia kama umekwazika mkuu.
Yani upo jikoni kabisa mkuuHahahahaaa.
Nipo nao jirani hapa kumbe naweza kuufuata kwa miguu kabisa
Ndo kawaida inavyokua kwa wale wenye saili 3 na hiyo haijalishi ulifaulu au ulifeli oral...kikubwa ksbria pdf kama haupo may be databasesisi tuliofanya interview yenye practical tokea december mbona hadi sasa inaonyesha selected for oral kwenye app ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine zinabadilika badilika kwenye app mara selected for null,mara practical mara oral tunashindwa kuelewa.Ndo kawaida inavyokua kwa wale wenye saili 3 na hiyo haijalishi ulifaulu au ulifeli oral...kikubwa ksbria pdf kama haupo may be database