Muju4
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 5,489
- 7,446
Kama hawakuambiwa tarehe exactly ya oral basi watulie, tatizo kubwa ni subira hii ni kikwazo kwa vijana wengi sana, wewe kaa tulia usubirie miongozo.Ratiba ilieleza kuwa itachukua zaidi ya siku 20 kupata matokeo?
Kipi kimekufanya uamini kuwa hawa "sript" zao zipo nyingi, ni majina ya shortlist au umepata attendance walioitika na kuhudhuria usaili?
Placement kuchelewa baada ya oral ndio issue kubwa, sasa huoni kadiri matokeo ya written yanavyochelewa yatazidi kupelekea kuchelewa kwa oral na plecement kuchelewa baada ya oral na kuwa issue kubwa zaidi?