Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ratiba ilieleza kuwa itachukua zaidi ya siku 20 kupata matokeo?

Kipi kimekufanya uamini kuwa hawa "sript" zao zipo nyingi, ni majina ya shortlist au umepata attendance walioitika na kuhudhuria usaili?

Placement kuchelewa baada ya oral ndio issue kubwa, sasa huoni kadiri matokeo ya written yanavyochelewa yatazidi kupelekea kuchelewa kwa oral na plecement kuchelewa baada ya oral na kuwa issue kubwa zaidi?
Kama hawakuambiwa tarehe exactly ya oral basi watulie, tatizo kubwa ni subira hii ni kikwazo kwa vijana wengi sana, wewe kaa tulia usubirie miongozo.
 
Kama hawakuambiwa tarehe exactly ya oral basi watulie, tatizo kubwa ni subira hii ni kikwazo kwa vijana wengi sana, wewe kaa tulia usubirie miongozo.
Shida vijana tulio wengi tukishakua shortlisted tunaanza kujiona ofisini sasa mambo yanapokua hayaendi haloo unaweza kuchanganyikia especially watu tunaopitia kioindi kigumu cha maisha .

Kuna watu wanasubiri placement ila tayari maisha yanaendelea ni tofauti na mtu asiyekua na tumaini lolote amewekeza nguvu utumishi.

Msiwahukumu sana kwa kukosa uvumilivu huwezi jua mtu mpaka anakua hivyo nini kinamsibu .

Mi nakumbuka zile post ZA TAKUKURU na TRA za mwaka jana zikinivuruga sana ilinichukua sana mda kurecover.

Japo hatujuani ila naamini humu ndani kuna watu wanastahili kupata psychological treatment kutoka na situation ya maisha ilivyokaa.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Haha kaka wanasema we ndo jobless mwenye hasira kali

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Fala tu huyo hana lolote [emoji16] hasira zake akapelekee utumishi kwa nini hawajamuajiri

Mtu kama huyu sio wa kumuachia awaletee makasiriko akibijibu kunya na wewe unajibu kunya mbona tutashoona taratibu
 
Yaelekea unanijua sana mzee?maana binafsi sijijui kama unavyonijua wewe.
Chapa kazi, acha kujipa kazi za kufuatilia watu wa mitandaoni tena usiowajua kama wa humu jf.
Ndio kazi yangu kukufatilia nakujua umemuoa shangazi yangu kwenye ukoo wetu

Pole kwa kukosa ukatibu wa bunge

Yaani ukileta ugaigai hata kama mada hainuhusu mimi ,hujanitag mimi , hujanijibu mimi kunya, hainuhusu kwa namna yeyote ile .we jua mi npo na wewe tu [emoji16] huwa watu dizaini yako wanakuaga na usengeusenge flani hiv[emoji16]

Na vile mimi kichwa kibovu hata sichoki
Kwenda nao sambamba


Niko hapa nakusibiri ukinijibu nitapata notification nitakuja tena ..na tena ....na tena

Na tena ...na tena
 
Ni vzr zaid tukaanza na olevel au college kwenye education background ya tell us about yourself wakuu majibu hapo?
Swali la Education Background;

Bachelor degree.
Advanced level.
Ordinary level.
Primary education.

Swali la Tell us about yourself.
Names.
Age.
Place of birth.
Bachelor degree.
Skills.
Knowledge.
Experience.
Achievements.

N.B; usizidishe dakika 2 kujibu hayo maswali short and clear japo experience and achievements kwa kazi za serikalini sio lazima, Kuna mdau alishakosa kazi kisa alisema ana experience na anafanya kazi shirika kubwa nchini.[emoji16]
 
Yaah nadhani BOT ndo waliobaki pekee, Tanroads upande wa ajira za mkataba tu ndo wanaajiri wao kama wao ila kwa nafasi za ajira ya moja kwa moja wako psrs
Nhif, idara za maji zote, tanesco Tanroad. NEC etc , TU waache TU wao wafanye usajili.
Mm Naona sawa TU, SI Kila job advatise ziende psrs.
Ili kupunza jam ya kugombania asali .
Psrs Kuna urasimu sana ,mpaka inaboa Yan
 
Back
Top Bottom