Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Pole sana mkuu, haikuwa bahati yako, nafasi yako ipo ila muda bado haujafika, kuwa na subira endelea kupambana, one day yes!
 

[emoji1317]🥹I know this feeling stay strong
 
Kikubwa ni kutokata tamaa, i hope tutarudi tena na tena mpaka siku yetu itapofika, na haiko mbali, nafasi yako ipo njiani kaka.
 
Pole sana mkuu, haikuwa bahati yako, nafasi yako ipo ila muda bado haujafika, kuwa na subira endelea kupambana, one day yes!

Asante kaka, nimeshapoa.

Kama kawaida imenibidi niende jogging haraka baada ya kuona tangazo la kazi ili kurudisha mwili ktk hali yake.

Nilishaanza kuona dalili za kuhema Kwa tabu, msongo wa mawazo, kuongea mwenyewe. Lkn sasa nashukuru Niko poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…