Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Pole sana mkuu, haikuwa bahati yako, nafasi yako ipo ila muda bado haujafika, kuwa na subira endelea kupambana, one day yes!Habari ya jioni Wana jf,
Hongereni Kwa wote mliolamba asali, BINAFSI sijabahatika.
Nilikuwa nasubiria placement HESLB nafasi ya Loan Officer.
Kwa mnaosubiri placement Pdf ndio kila ktu, stutus si za uhakika/ kutegemea.
Stutus kwenye website ni SELLECTED FOR Oral ya kijani na kwenye app ni SELLECTED FOR null.