Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Pole sana mzee jaribu t vyuo vya NACTE hivyo vya TCU ngumu kukushortlist
 
Wakuu habari naomba kuuliza kitu hapa kama mtu kafanya saili zaidi ya moja chuoni hususani tutorial assistant kwa institute tofauti lakini kada ni moja kwenye kuitwa kazini ukawa umepita taasisi mbili inakuaje?? na je kuna uwezekano kama mtu kapiga oral aka replace nafasi yako kutoka chuo kingine?? Lakini kada ni moja?? na je kwa kada moja vyuo tofauti kuitwa kazini watatoa siku moja majina ya kuitwa kazini??
NOTE: Maswali yapo kama matatu apo naomba muongozo niweze kujua hicho kitu
 
Pamoja sana mkuu
 

Kwa uzoefu wangu, kibali hakitakiwi kurudishwa, bali kanzi data itatumika na endapo kanzi data haitotosha kukidhi uhitaji wa dharura itabidi tangazo lirudi tena na tena kutafuta wenye vigezo mpaka wapatikane.

Tofauti na hapo, ni sababu za kisiasa tu zinazoweza kutumika kutokuendelea kutafuta mwenye sifa.

NB: Tanzania hii na wimbi kubwa la wenye sifa walioko mtaani ni nafasi chache sana zinaweza kukaa muda mrefu bila kupata wenye vigezo.
 

Mkuu, experience yako ni nzuri sana. Hebu tudokezee kidogo, umefanya Saili ngapi mpaka kuja kufanikiwa kupata ajira?
 
Njoo inbox mkuu
 
Mkuu, experience yako ni nzuri sana. Hebu tudokezee kidogo, umefanya Saili ngapi mpaka kuja kufanikiwa kupata ajira?
Hahaha mie nimefanya sail mbili tu mkuu moja ndo hii ya mwezi wa sita na nyingine ni mwezi huu Bado majibu hawajaita so kimsingi kabisa ni interview moja tu mungu kanibaliki ila Nina not SHORTLISTED Nne sikuwa natimiza vigezo vyao mara ku certify vyeti mara military training certificate
 
Hizi update za account ajira portal zinachanganya sana
Tushapiga oral afu inaandika shortlisted au ndo nshakandwa sasa
😂😂😂😂😂Utumishi watakuja kutuua hawa hizi post wanazotoa wanataka mtu mmoja ngumu sana
 

Ohooh, sawa Mkuu, nimekuelewa. Hongera sana.
 
Wakuu na wengine mliofanikiwa kupata ajira kipindi hiki, hebu tudokezeeni mumepata baada ya kwenda round ngapi za usaili na kukosa?
Na tuliokandwa mara kadhaa tunaruhusiwa kuleta shuhuda zetu?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…