Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ila ni very petty reasons.
Waliofanya hivyo ni chuo cha ARU.
Nimewapigia wanadai hivyo.

Lakini si kweli, mbona kuna assistant lecturers from University wanafundisha NACTE and vice versa is True.
Ila roho imeniuma. Mimi nilitaka niwe selected tu nikapata hata experience ya interview.

May be kupunguza ushindani, ila is not fair at all.
Kwani in-service training ina kazi ganiii?
Pole sana mzee jaribu t vyuo vya NACTE hivyo vya TCU ngumu kukushortlist
 
Wakuu habari naomba kuuliza kitu hapa kama mtu kafanya saili zaidi ya moja chuoni hususani tutorial assistant kwa institute tofauti lakini kada ni moja kwenye kuitwa kazini ukawa umepita taasisi mbili inakuaje?? na je kuna uwezekano kama mtu kapiga oral aka replace nafasi yako kutoka chuo kingine?? Lakini kada ni moja?? na je kwa kada moja vyuo tofauti kuitwa kazini watatoa siku moja majina ya kuitwa kazini??
NOTE: Maswali yapo kama matatu apo naomba muongozo niweze kujua hicho kitu
 
Nitasaidia kujibu maswali 2
1. Kama umechaguliwa sehemu mbili tofauti kwa nafasi ya TA, utachagua mwenyewe kati ya hizo mbili.

2. Ukichagua mojawapo, basi hii ya pili itarudishwa utumishi na wenyewe wanaweza kuitangaza upya au kuchukua yoyote toka kanzi data anaye-fit hiyo position. Nani atachaguliwa, ni jukumu la utumishi wenyewe

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Pamoja sana mkuu
 
Habarini za muda waungwana,,,Napenda kutoa pongezi zangu kutoka moyoni kwa waliofanikiwa hakika sauti zetu zimefika mahala husika mungu watangulie sisi tunaendelea kupambana

Mwenye uzoefu naomba Kuliza:
Mfano Taasisi imetangaza nafasi tano (5) za kazi Kupitia Utumishi
Application ikapata watu (4) Ajira portal
Na tarehe ya usaili ikapangwa kwa hao wa nne (4)

Utumishi ikabidi ifanye Re -advertsed nafasi moja Ikapata watu (5) sababu walipunguza vigezo

Sasa wale wanne kwe Tangazo Mama hadi oral wameingia 2 wengine hawakufika hadi placement inatoka ni hao wawili tu ila kureport kwa muajiri ameriport mmoja na process za muajiri zimekamilika ni huyo mmoja tu (1)

Hawa wa Re-advertiseing ambao ni wa tano (5) ambao post yao ilikuwa moja wote wakaenda hadi oral na placement imetoka ni huyo mmoja anaetakiwa kureport kwa muajiri

Jee hii imekaaje inamana nafasi 3 zinakufa au kutakuwa na uchukuaji wa kanzi data kati ya hao wa nne(4) waliobaki

Au serikali kibali kitarudi wamekosa watu stahiki

Kwa alie na ulewa please,,,,

Kwa uzoefu wangu, kibali hakitakiwi kurudishwa, bali kanzi data itatumika na endapo kanzi data haitotosha kukidhi uhitaji wa dharura itabidi tangazo lirudi tena na tena kutafuta wenye vigezo mpaka wapatikane.

Tofauti na hapo, ni sababu za kisiasa tu zinazoweza kutumika kutokuendelea kutafuta mwenye sifa.

NB: Tanzania hii na wimbi kubwa la wenye sifa walioko mtaani ni nafasi chache sana zinaweza kukaa muda mrefu bila kupata wenye vigezo.
 
Pepa 3 SI mchezo mkuu ngoja nikichekeshe kidogo mie Ilikua kila nikipiga Pepa nasepa stand kusubir matokeo Kuwa nikiona tu not selected nipande gari nisepe so mfano natoka kwenye Pepa saa Tano mfano written nazuga kidogo huyo stand kuu hahahha[emoji23] nikaaa nawait mpka saa tatu usiku ni mwendo wa kurefresh ajira potal bila wakitoa matokeo nimepenya safari ya kurudi Sabasaba inaanza nakuta guest zote za bei ndogo zimejaaa natembea sana mpka napata chumba nipo hoviez hahahahaha practical Tena hivyo hivyo duh mkeka ukitoka nipo duh narudi Tena Town Kuna jamaa pract alisepa kufika mbele huko sijui gairo akaona mkeka yupo akarudi hahhahaa noma so Pepa 3 kupita zote mungu tu anasaidia kwa kweli

Mkuu, experience yako ni nzuri sana. Hebu tudokezee kidogo, umefanya Saili ngapi mpaka kuja kufanikiwa kupata ajira?
 
Kwa uzoefu wangu, kibali hakitakiwi kurudishwa, bali kanzi data itatumika na endapo kanzi data haitotosha kukidhi uhitaji wa dharura itabidi tangazo lirudi tena na tena kutafuta wenye vigezo mpaka wapatikane.

Tofauti na hapo, ni sababu za kisiasa tu zinazoweza kutumika kutokuendelea kutafuta mwenye sifa.

NB: Tanzania hii na wimbi kubwa la wenye sifa walioko mtaani ni nafasi chache sana zinaweza kukaa muda mrefu bila kupata wenye vigezo.
Njoo inbox mkuu
 
Mkuu, experience yako ni nzuri sana. Hebu tudokezee kidogo, umefanya Saili ngapi mpaka kuja kufanikiwa kupata ajira?
Hahaha mie nimefanya sail mbili tu mkuu moja ndo hii ya mwezi wa sita na nyingine ni mwezi huu Bado majibu hawajaita so kimsingi kabisa ni interview moja tu mungu kanibaliki ila Nina not SHORTLISTED Nne sikuwa natimiza vigezo vyao mara ku certify vyeti mara military training certificate
 
Hizi update za account ajira portal zinachanganya sana
Tushapiga oral afu inaandika shortlisted au ndo nshakandwa sasa
😂😂😂😂😂Utumishi watakuja kutuua hawa hizi post wanazotoa wanataka mtu mmoja ngumu sana
 
Hahaha mie nimefanya sail mbili tu mkuu moja ndo hii ya mwezi wa sita na nyingine ni mwezi huu Bado majibu hawajaita so kimsingi kabisa ni interview moja tu mungu kanibaliki ila Nina not SHORTLISTED Nne sikuwa natimiza vigezo vyao mara ku certify vyeti mara military training certificate

Ohooh, sawa Mkuu, nimekuelewa. Hongera sana.
 
Back
Top Bottom