baba lumba
Member
- Sep 23, 2018
- 72
- 186
Asante sana MkuuAisee hongereni wote mliofanikiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana MkuuAisee hongereni wote mliofanikiwa
Pole sana mzee jaribu t vyuo vya NACTE hivyo vya TCU ngumu kukushortlistIla ni very petty reasons.
Waliofanya hivyo ni chuo cha ARU.
Nimewapigia wanadai hivyo.
Lakini si kweli, mbona kuna assistant lecturers from University wanafundisha NACTE and vice versa is True.
Ila roho imeniuma. Mimi nilitaka niwe selected tu nikapata hata experience ya interview.
May be kupunguza ushindani, ila is not fair at all.
Kwani in-service training ina kazi ganiii?
Sijui watatoa lini hawa ADEMMie nilipiga oral ya ADEM tarehe 16 mwezi 9 nadhani mkeka wetu hadi mwezi ujao...ngoja tuvute subra
Kada gani mkuuSijui watatoa lini hawa ADEM
Pamoja sana mkuuNitasaidia kujibu maswali 2
1. Kama umechaguliwa sehemu mbili tofauti kwa nafasi ya TA, utachagua mwenyewe kati ya hizo mbili.
2. Ukichagua mojawapo, basi hii ya pili itarudishwa utumishi na wenyewe wanaweza kuitangaza upya au kuchukua yoyote toka kanzi data anaye-fit hiyo position. Nani atachaguliwa, ni jukumu la utumishi wenyewe
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Waache uhuniPole sana mzee jaribu t vyuo vya NACTE hivyo vya TCU ngumu kukushortlist
Habarini za muda waungwana,,,Napenda kutoa pongezi zangu kutoka moyoni kwa waliofanikiwa hakika sauti zetu zimefika mahala husika mungu watangulie sisi tunaendelea kupambana
Mwenye uzoefu naomba Kuliza:
Mfano Taasisi imetangaza nafasi tano (5) za kazi Kupitia Utumishi
Application ikapata watu (4) Ajira portal
Na tarehe ya usaili ikapangwa kwa hao wa nne (4)
Utumishi ikabidi ifanye Re -advertsed nafasi moja Ikapata watu (5) sababu walipunguza vigezo
Sasa wale wanne kwe Tangazo Mama hadi oral wameingia 2 wengine hawakufika hadi placement inatoka ni hao wawili tu ila kureport kwa muajiri ameriport mmoja na process za muajiri zimekamilika ni huyo mmoja tu (1)
Hawa wa Re-advertiseing ambao ni wa tano (5) ambao post yao ilikuwa moja wote wakaenda hadi oral na placement imetoka ni huyo mmoja anaetakiwa kureport kwa muajiri
Jee hii imekaaje inamana nafasi 3 zinakufa au kutakuwa na uchukuaji wa kanzi data kati ya hao wa nne(4) waliobaki
Au serikali kibali kitarudi wamekosa watu stahiki
Kwa alie na ulewa please,,,,
Pepa 3 SI mchezo mkuu ngoja nikichekeshe kidogo mie Ilikua kila nikipiga Pepa nasepa stand kusubir matokeo Kuwa nikiona tu not selected nipande gari nisepe so mfano natoka kwenye Pepa saa Tano mfano written nazuga kidogo huyo stand kuu hahahha[emoji23] nikaaa nawait mpka saa tatu usiku ni mwendo wa kurefresh ajira potal bila wakitoa matokeo nimepenya safari ya kurudi Sabasaba inaanza nakuta guest zote za bei ndogo zimejaaa natembea sana mpka napata chumba nipo hoviez hahahahaha practical Tena hivyo hivyo duh mkeka ukitoka nipo duh narudi Tena Town Kuna jamaa pract alisepa kufika mbele huko sijui gairo akaona mkeka yupo akarudi hahhahaa noma so Pepa 3 kupita zote mungu tu anasaidia kwa kweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Njoo inbox mkuuKwa uzoefu wangu, kibali hakitakiwi kurudishwa, bali kanzi data itatumika na endapo kanzi data haitotosha kukidhi uhitaji wa dharura itabidi tangazo lirudi tena na tena kutafuta wenye vigezo mpaka wapatikane.
Tofauti na hapo, ni sababu za kisiasa tu zinazoweza kutumika kutokuendelea kutafuta mwenye sifa.
NB: Tanzania hii na wimbi kubwa la wenye sifa walioko mtaani ni nafasi chache sana zinaweza kukaa muda mrefu bila kupata wenye vigezo.
Hahaha mie nimefanya sail mbili tu mkuu moja ndo hii ya mwezi wa sita na nyingine ni mwezi huu Bado majibu hawajaita so kimsingi kabisa ni interview moja tu mungu kanibaliki ila Nina not SHORTLISTED Nne sikuwa natimiza vigezo vyao mara ku certify vyeti mara military training certificateMkuu, experience yako ni nzuri sana. Hebu tudokezee kidogo, umefanya Saili ngapi mpaka kuja kufanikiwa kupata ajira?
😂😂😂😂😂Utumishi watakuja kutuua hawa hizi post wanazotoa wanataka mtu mmoja ngumu sanaHizi update za account ajira portal zinachanganya sana
Tushapiga oral afu inaandika shortlisted au ndo nshakandwa sasa
Hahaha mie nimefanya sail mbili tu mkuu moja ndo hii ya mwezi wa sita na nyingine ni mwezi huu Bado majibu hawajaita so kimsingi kabisa ni interview moja tu mungu kanibaliki ila Nina not SHORTLISTED Nne sikuwa natimiza vigezo vyao mara ku certify vyeti mara military training certificate
Mimi mwenyewe inaandika hivyo na nimepiga oral 2 zote inaandika shortlisted badala ya selected for oralHizi update za account ajira portal zinachanganya sana
Tushapiga oral afu inaandika shortlisted au ndo nshakandwa sasa
itakuwa ndo tushapanda mtumbwi wa vibwengo(M.V vibwengo)Mimi mwenyewe inaandika hivyo na nimepiga oral 2 zote inaandika shortlisted badala ya selected for oral
Nadhan mwezi wa 10 kabla ya vyuo kufunguliwaSijui watatoa lini hawa ADEM
Na tuliokandwa mara kadhaa tunaruhusiwa kuleta shuhuda zetu?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wakuu na wengine mliofanikiwa kupata ajira kipindi hiki, hebu tudokezeeni mumepata baada ya kwenda round ngapi za usaili na kukosa?