Ingependeza kama tungepata mirejesho kutoka kwa wenzetu waliotangulia kulamba asali cku hzi za karibuni juu ya sahili zao za oral zilivokuwa jinsi walivojibu maswali na matarajio yao yalikuw vip baada ya kutoka kweny chumba cha wakandaji
Mimi hapa naona pale kwenye panel wanachoangalia kama wewe una uwezo au moyo wa kufanya kazi watakudodosa sana kuhusu experience yako au kama hata umejiingiza kwenye program zinazohusu kada yako + kama hata unafanya internship mahali
Kingine wanaangalia kama unajua tu basic terms kwenye hiyo field yako au kada uliyoomba kazi
Kingine ni job duties hiki kitu ni cha muhimu unapaswa kuzijua
Kitu kingine ni uwezo ku reason au ku figure business logic
Napia jitahidi ku explore taasisi unayoomba kazi uijue kuanzia structure yake na malengo yake
Unaweza ukawa haujui kingereza vizuri au kingereza chako ni cha kuungaunga na ukatoboa tu uzuri ni kwamba kivyovyote unajua lazima swali la kujitambulisha litakuwepo haijalishi litaulizwa vipi
Ila naamini kivyovyote litakavyoulizwa lazima utajua hapa natakiwa kujitambulisha utaweza kumwaga maelezo uliyoyameza hata wiki kabla
Kwa kingereza safi hata kama ngeli yako ni ya kuunga unga
Kwasababu kuna maswali ya technical term ya class kabisa so ukiulizwa unajibu swali kama ulivyokuwa unajibu class tu
Na issue ya reasoning wanaweza tu kukupa scenarios kukupima
Hakikisha tu unasoma fresh Yale madenser ya chuo kama ulitupa yatafute
Kikubwa cha kuamini utumishi hakuna haja ya kuwa na connection na mim sidhani kama kipindi hiki kuna connection yoyote ukipambana kwa nguvu zako unatoboa kopo na kula asali