Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ingependeza kama tungepata mirejesho kutoka kwa wenzetu waliotangulia kulamba asali cku hzi za karibuni juu ya sahili zao za oral zilivokuwa jinsi walivojibu maswali na matarajio yao yalikuw vip baada ya kutoka kweny chumba cha wakandaji
Tulivyokuwa shule, mtu anakuambia kwenye pepa hakuona cha kujibu lakin Majibu yakitoka ye ndo anaongoza darasa Zima.
Binadamu hatusemagi ukweli, ukihitaj prove kutoka kwa mtu alivyojibu mtihan Kuna mawili, ataongeza chumvi kuwa alifanya vizur sana Au atakupa kauli za kukutia moyo kuwa aliharibu kumbe aliua
 
Na ndivyo inavyokuaga yaani ukiona wewe ndo unaikimbilia PDF heeee! Muombe Mungu sana hii huwa inaanza kwa kupigiwa simu kupewa pongezi.

Good things happen when you least expect them.
Mwenyewe nilikuwa sina habari kabisa siku hiyo na sikuingia humu kwa muda kama masaa kadhaa nyuma.

Nilipokuja kuwasha data nikaingia WhatsApp nikakuta jamaa kanitumia pdf na kunipongeza. Aisee Moyo ulilipuka sana nikiwa siamini kama, nikaidownload fast na kuifungua nihakikishe, nilipoona jina nilianza kutokwa machozi kabisa[emoji3][emoji3]
 
Watu mnakataa kazi za laki 8???

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mazingira ya kazi nayo ni kipengele mkuu.

Huwezi kufanya kazi kwenye mazingira ambayo hauna tofauti na aliyepo Segerea hata kama unalipwa vizuri.

Ila kama hauna jinsi basi unaweza kukomaa kwenye hayo hayo mazingira huku ukiendelea kutafuta alternative nyingine
 
Aaaah humu watu wakipata basi wanapenda kujipakulia nyama utasikia niliwapelekea moto panel balaa, kumbe kapita kwa Sympathy ya Panel washaona kijna Umri unamtupa mkono na Maisha Hana,, hebu basi tumbless na hii job... Yanafanyika haya kabisa[emoji16]

Au nasema uongo ndugu zangu..?
Hizo zingine ni siri zao PSRS sisi tuishi kwenye nadharia tu.
 
Ingependeza kama tungepata mirejesho kutoka kwa wenzetu waliotangulia kulamba asali cku hzi za karibuni juu ya sahili zao za oral zilivokuwa jinsi walivojibu maswali na matarajio yao yalikuw vip baada ya kutoka kweny chumba cha wakandaji
Mrejesho wangu wa Oral utaupata kwenye comments za tarehe 7/11/2022 kwenye uzi.

Unaweza kurudi nyuma kwenye hiyo tarehe utaona.
 
Kingine kama haujaoa ama kuwa mtu rasmi achana na habari za ngono zembe zimejaa mikosi sana, yaani hebu kipindi unaomba kaa mbali na hii kitu kabisa.
Hahahahahaa, yule jamaa ID yake sijui "nani wa Manzese" mbona alikuwa anaenda kuzichakata huku kesho yake anaamkia CIVE.

Alipata huko jeshini na hapa kashatoweka.

Suala la kujiepusha na hayo mambo ni muhimu sana
 
Ingependeza kama tungepata mirejesho kutoka kwa wenzetu waliotangulia kulamba asali cku hzi za karibuni juu ya sahili zao za oral zilivokuwa jinsi walivojibu maswali na matarajio yao yalikuw vip baada ya kutoka kweny chumba cha wakandaji
Mimi hapa naona pale kwenye panel wanachoangalia kama wewe una uwezo au moyo wa kufanya kazi watakudodosa sana kuhusu experience yako au kama hata umejiingiza kwenye program zinazohusu kada yako + kama hata unafanya internship mahali

Kingine wanaangalia kama unajua tu basic terms kwenye hiyo field yako au kada uliyoomba kazi

Kingine ni job duties hiki kitu ni cha muhimu unapaswa kuzijua

Kitu kingine ni uwezo ku reason au ku figure business logic

Napia jitahidi ku explore taasisi unayoomba kazi uijue kuanzia structure yake na malengo yake

Unaweza ukawa haujui kingereza vizuri au kingereza chako ni cha kuungaunga na ukatoboa tu uzuri ni kwamba kivyovyote unajua lazima swali la kujitambulisha litakuwepo haijalishi litaulizwa vipi

Ila naamini kivyovyote litakavyoulizwa lazima utajua hapa natakiwa kujitambulisha utaweza kumwaga maelezo uliyoyameza hata wiki kabla
Kwa kingereza safi hata kama ngeli yako ni ya kuunga unga

Kwasababu kuna maswali ya technical term ya class kabisa so ukiulizwa unajibu swali kama ulivyokuwa unajibu class tu

Na issue ya reasoning wanaweza tu kukupa scenarios kukupima

Hakikisha tu unasoma fresh Yale madenser ya chuo kama ulitupa yatafute

Kikubwa cha kuamini utumishi hakuna haja ya kuwa na connection na mim sidhani kama kipindi hiki kuna connection yoyote ukipambana kwa nguvu zako unatoboa kopo na kula asali
 
Hahahahahaa, yule jamaa ID yake sijui "nani wa Manzese" mbona alikuwa anaenda kuzichakata huku kesho yake anaamkia CIVE.

Alipata huko jeshini na hapa kashatoweka.

Suala la kujiepusha na hayo mambo ni muhimu sana
Yule kijana ni comedy [emoji23], na ndio kilichokuwa kinamuangusha yaani yeye paper ikimpiga anaenda malizia hasira zake huko Mungu amtangulie huko alipo.
 
Mimi hapa naona pale kwenye panel wanachoangalia kama wewe una uwezo au moyo wa kufanya kazi watakudodosa sana kuhusu experience yako au kama hata umejiingiza kwenye program zinazohusu kada yako + kama hata unafanya internship mahali

Kingine wanaangalia kama unajua tu basic terms kwenye hiyo field yako au kada uliyoomba kazi

Kingine ni job duties hiki kitu ni cha muhimu unapaswa kuzijua

Kitu kingine ni uwezo ku reason au ku figure business logic

Napia jitahidi ku explore taasisi unayoomba kazi uijue kuanzia structure yake na malengo yake

Unaweza ukawa haujui kingereza vizuri au kingereza chako ni cha kuungaunga na ukatoboa tu uzuri ni kwamba kivyovyote unajua lazima swali la kujitambulisha litakuwepo haijalishi litaulizwa vipi

Ila naamini kivyovyote litakavyoulizwa lazima utajua hapa natakiwa kujitambulisha utaweza kumwaga maelezo uliyoyameza hata wiki kabla
Kwa kingereza safi hata kama ngeli yako ni ya kuunga unga

Kwasababu kuna maswali ya technical term ya class kabisa so ukiulizwa unajibu swali kama ulivyokuwa unajibu class tu

Na issue ya reasoning wanaweza tu kukupa scenarios kukupima

Hakikisha tu unasoma fresh Yale madenser ya chuo kama ulitupa yatafute

Kikubwa cha kuamini utumishi hakuna haja ya kuwa na connection na mim sidhani kama kipindi hiki kuna connection yoyote ukipambana kwa nguvu zako unatoboa kopo na kula asali
Sawa sawa mkuu
 
Back
Top Bottom