Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nilikuwa namkumbusha huenda kashasahau, hata TRA walifanya tarehe 3, iyo ya UDOM inawezekana ikawahi hawana mambo mengi
TRA walikuwa na kada tofauti tofauti afu na tarehe pia zimeachana mbali mana ICT Programmers TRA walifanya tarehe 3 , Technicians TRA wakafanya Tarehe 4, ila madereva wa TRA wakaja kufanya oral around tarehe 17 january. So hapo naona tuhesabie oral za TRA ziliisha Tarehe 17 january
 
Kwa mawazo yangu TRA wawe wapole ila hawa wenye saili za vyuo hasa assistant na tutorial lecturers kama saili za UDOM lolote linatokea mda wowote mara nyingi hawakai kwenye foleni.
Sema mwaka jana waliwahi TRA UDOM wanajitegemea wako wachache, kuna wadau humu hii ya TRA wameikadiria hadi April, huyu Twinawe tarehe yake ndio iko karibu na ndio maana namkumbusha hapa bado siku 3.
 
Kwa maana iyo hii ya TRA inaweza kwenda hadi march - april uko kama walivyootea wadau humu
 
Hahhah TRA wawe wa polee coz sidhani kama ana dharula kubwa kiasi hicho cha kuitaji wafanyakazi haraka tena, coz alibeba wa kutosha juzi kati, ila kama ana haraka nao basi hatakaaa kwenye foleni. Nawaona kama 3 mwishoni
Uhitaji upo kuna watu wapo maofisini wanakuambia Mwezi 3 Assistant TM wanahitajika kuwa Job na Siku zote wao Training ni 2 Weeks tu so Kwny Mwezi huu Lolote linaweza tokeo
 
Hahhah TRA wawe wa polee coz sidhani kama ana dharula kubwa kiasi hicho cha kuitaji wafanyakazi haraka tena, coz alibeba wa kutosha juzi kati, ila kama ana haraka nao basi hatakaaa kwenye foleni. Nawaona kama 3 mwishoni
Wanadai TRA kuna uhaba na ndio maana walirudia usahili watu wanahitajika huko sio kipole pole
 
Uhitaji upo kuna watu wapo maofisini wanakuambia Mwezi 3 Assistant TM wanahitajika kuwa Job na Siku zote wao Training ni 2 Weeks tu so Kwny Mwezi huu Lolote linaweza toke
Kipimo kitakuwa ni tarehe 20 mwezi huu, wakivuka hawajatoa basi wataenda adi miez miwili, but kwenye hizi office za serikali hakuna office ambazo hazina uhitaji,karibu kila office ina uhitaji, wanacho angalia naisi mkubwa kiasi gani, kwa mfano ata UDSM anapost ambazo hazimalizi week 2 but pia ana post ambazo huwa zinachukua miezi miwili kutoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…