Dr Ahmed Albah-Shahwa
JF-Expert Member
- Apr 12, 2022
- 848
- 1,604
Nilikuwa namkumbusha huenda kashasahau, hata TRA walifanya tarehe 3, iyo ya UDOM inawezekana ikawahi hawana mambo mengiHahahaah anafanyia PSRS nini, mi naimani tusubiri za November kwanza ingawa placement ambazo nahisi zitawai ni za UDOM kuliko nyingine oral walifanya january.