Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hahahaa..
Usiwe na shaka mkuu, kikubwa ushapiga oral, mambo yanachakatwa taratibu..
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Sasa kuchakatwa ndo waniandikie shortlisted hizi so dhalau wananichanganya ubongo wangu najiuliza kwahiyo wanaona kama sijafanya hata interview hawa watu aah watatuua bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ