Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hahahaa..
Usiwe na shaka mkuu, kikubwa ushapiga oral, mambo yanachakatwa taratibu..
😂😂😂😂Sasa kuchakatwa ndo waniandikie shortlisted hizi so dhalau wananichanganya ubongo wangu najiuliza kwahiyo wanaona kama sijafanya hata interview hawa watu aah watatuua bure
 
Back
Top Bottom