Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

28/11/2022 Hapo ongeza OUT nadhani umeisahau
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kaka Mambo ni fire lakini tunaamini Mungu atatenda
we have played to our own part, nimejitahid kadri niwezavyo kuattempty bila kuacha pengo, but tge rest Mungu ndio mpaji.
 
Mkui unakumbukumbu na hakika unazifatilia....
 
wakuu ishu gani/mood gani inakupa vibe baada ya kupiga oral kuwa angalau panelist nimewa win ama ndoige? mfano mm juzi hpo swali la introduce yourself mkuu wa panel alinambia very good,other questions nikawaona wako bize tu kuandika points haloo imenistua kimtindo,ebu tupeane experience kipi kinakupa vibe ya kusubiria placement ??
 
Ila maswali mnayouliza jamani,wakati mwingine mtu unakaa unacheka tu..sasa mtu utajuaje kuwa mood flani ya mtu ina maana flani?hamna hata uzoefu wa interview za private sector wakuu?kwa mtazamo wangu wewe ukishapiga interview zao kausha endelea na harakati zingine za maisha,usijipe matumaini kivile wala usijione umejibu vibaya maswali yao.
Mimi interview ya heslb kuna swali niliambiwa nitaje point tano but me nikataja 3 tu na kuzielezea vizuri na aliyeniuliza lile swali akanikazia kuwa I need 5 points me nikamjibu that is what i have in my mind regarding your question Sir nikaishia hapo,ila nimefaulu.
 
Don’t be too aggressive bro acha mtu awe free kuexpress what he feels. Hii ni sehemu huru ukiona vinakukera achana navyo. Sasa wewe mbona unatuambia habari zako na unavyoelezea vyako vinatusaidia au kufundisha nn au kuna mtu ushawahi ona yupo negative kwako. Try to man up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…