Mwamba95
Senior Member
- Feb 4, 2023
- 148
- 381
SELECTED FOR null ndio ikoje apo mastaNaona vitu vimeganda tu huko kwenye App...
Hamna Cha mabadiliko Wala makasiriko[emoji16]View attachment 2507577
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SELECTED FOR null ndio ikoje apo mastaNaona vitu vimeganda tu huko kwenye App...
Hamna Cha mabadiliko Wala makasiriko[emoji16]View attachment 2507577
Iv kuna wengine baada ya kufanya oral kabla ya pdf kutoka wanakua na not selected for null au wote status inasoma selected for null
Uwakika = UhakikaUna uwakika kiasi gan
Hiyo ni kawaida but sidhani kama wanaweza kukwambia kuwa jibu lolote tu..Hahahahaha, mkuu inaonekana una uzoefu na hizi mambo, kumbe kuna muda ngoma inabana, unaambulia point moja ya taabu sana, baada ya kuambiwa na panelist, jibu lolote tu.
Masta msaada wa hizo status za app wengine tunaona nyota nyota tuHahahahaha! Nafuatilia kwa karibu yaliyonipita humu mkuu.
Au hazina implication yoyoteMasta msaada wa hizo status za app wengine tunaona nyota nyota tu
Okay apo nimekupata asee kumbe hazireflect chochoteSubiri PDF mkuu status ni pasua kichw
28/11/2022 Hapo ongeza OUT nadhani umeisahauKwa wale tunaosubiria placements hebu tupitie hapa;
MDAs & LGA's, TAWA, MPRU, MJNUAT
hizi taasisi zilifanya Oral tar 23Nov - 30 Nov.
TAEC, ARIMO,AAI,RUWASA,SUA,MOCU,TMC
Hizi taasisi zilifanya Oral tar 28Nov -01Dec.
ARU, LITA, OSHA, BASATA, TMDA, LATRA, TARI, TGDC, MWAUSA,WIZARA YA KILIMO. Hizi taasisi zilifanya oral ta 06 - 07Dec.
ASA, hii taasisi ilifanya Ilifanya oral tar 08Dec.
Sasa nyie mliofanya Mwezi wa December2022 na January 2023 tukiwaambia Muwe na subrah muelewe..
Tazama huo utitiri wa taasisi huko juu Toka mwezi November mwishoni hakuna iliyopata placements 💪
Yamewekwa humu tayari juu huko yapo mkuuBalozi limited Mkuu vipi maswali ya Oral? Hebu yaweke hapa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kaka Mambo ni fire lakini tunaamini Mungu atatendaNaona jamaa leo kapotea kabisa,, japo maswali yaliwekwa humu jioni ya Leo Ila Huyu Balozi limited Kawa adimu.
Balozi limited njoo utoe ushuhuda wa oral yako leo naamini kati ya yale maswali manne ya darasa kama umepata matatu then moja likakutoa jasho au ukajibu point 1 ya mchongo basi ushaongeza selection for Null kule kwenye App.
Kinachotakiwa kwanza ni kujibu ya darasani ma3 kati ya yale ma4..
Mkui unakumbukumbu na hakika unazifatilia....Kwa wale tunaosubiria placements hebu tupitie hapa;
MDAs & LGA's, TAWA, MPRU, MJNUAT
hizi taasisi zilifanya Oral tar 23Nov - 30 Nov.
TAEC, ARIMO,AAI,RUWASA,SUA,MOCU,TMC
Hizi taasisi zilifanya Oral tar 28Nov -01Dec.
ARU, LITA, OSHA, BASATA, TMDA, LATRA, TARI, TGDC, MWAUSA,WIZARA YA KILIMO. Hizi taasisi zilifanya oral ta 06 - 07Dec.
ASA, hii taasisi ilifanya Ilifanya oral tar 08Dec.
Sasa nyie mliofanya Mwezi wa December2022 na January 2023 tukiwaambia Muwe na subrah muelewe..
Tazama huo utitiri wa taasisi huko juu Toka mwezi November mwishoni hakuna iliyopata placements [emoji123]
ndio wapo wenye not selected for null after oral.Iv kuna wengine baada ya kufanya oral kabla ya pdf kutoka wanakua na not selected for null au wote status inasoma selected for null
Ila maswali mnayouliza jamani,wakati mwingine mtu unakaa unacheka tu..sasa mtu utajuaje kuwa mood flani ya mtu ina maana flani?hamna hata uzoefu wa interview za private sector wakuu?kwa mtazamo wangu wewe ukishapiga interview zao kausha endelea na harakati zingine za maisha,usijipe matumaini kivile wala usijione umejibu vibaya maswali yao.wakuu ishu gani/mood gani inakupa vibe baada ya kupiga oral kuwa angalau panelist nimewa win ama ndoige? mfano mm juzi hpo swali la introduce yourself mkuu wa panel alinambia very good,other questions nikawaona wako bize tu kuandika points haloo imenistua kimtindo,ebu tupeane experience kipi kinakupa vibe ya kusubiria placement ??
Duuuh mbona hatari basi zitakua na maana yake
Don’t be too aggressive bro acha mtu awe free kuexpress what he feels. Hii ni sehemu huru ukiona vinakukera achana navyo. Sasa wewe mbona unatuambia habari zako na unavyoelezea vyako vinatusaidia au kufundisha nn au kuna mtu ushawahi ona yupo negative kwako. Try to man up.Ila maswali mnayouliza jamani,wakati mwingine mtu unakaa unacheka tu..sasa mtu utajuaje kuwa mood flani ya mtu ina maana flani?hamna hata uzoefu wa interview za private sector wakuu?
Mimi interview ya heslb kuna swali niliambiwa nitaje point tano but me nikataja 3 tu na kuzielezea vizuri na aliyeniuliza lile swali akanikazia kuwa I need 5 points me nikamjibu that is what i have in my mind regarding your question Sir nikaishia hapo,ila nimefaulu.