Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongera sana mkuu.

Mimi pia nilitaja Jina langu lote.

Kuhusu shule nilianzia Chuo nikaishia Olevel tu huku nikitaja mwaka wa kuanza na kumaliza per each.

Kwenye uzoefu nilitaja sehemu niliyofanyia mafunzo kwa vitendo mwaka nilioanza na niliomaliza.

Nilimalizia kwa kusema "Hii ndio historia yangu fupi ya maisha yangu ya shule"

Kwenye Introduction(swali la kwanza) ni rahisi sana kuflow bila kutatarika maana ukipangilia matukio inabaki kutaja tu bila shida
 
pamoja mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ