Na tuliokandwa mara kadhaa tunaruhusiwa kuleta shuhuda zetu?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
kwema kabisa mkuu
Hii ngoma imeenda kama Man United kwenye mechi zake za mwanzo msimu huu EPL[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh umefanya nicheke sana
Kweli mkuu nimekupata.Hahaha, sio vibaya mkileta Mkuu. Imebidi niombe shuhuda za hao watu kwa sababu naamini kuna watu wamekandwa mara mbili au tatu na wameshakata tamaa, wakiona historia za wenzao waliokandwa na bado wakakomaa mpaka wakafanikiwa itawaamsha sana morali.
😂😂😂😂😂Man u ilikandwa mpka nikaona Ronaldo labda ndo analeta gundu au vipiHii ngoma imeenda kama Man United kwenye mechi zake za mwanzo msimu huu EPL
Kila la kheri mkuu. Ukawe mtumishi mwemaJamani leo nawaageni rasmi jf nakwenda kuwa mtumishi mwema . tuendelee kupambana kwa mungu yote yanawezekana .tujitahidi kusoma
Mkuu, hawa utumishi naona hawataki tu kutoka MIKEKA mingine ya Usaili.. tatizo ni nn hebu nisaidie we Mbobezi wa haya mambo.Kila la kheri mkuu. Ukawe mtumishi mwema
Kuna saili bado zinaendelea za ARU nadhani labda mpaka ziisheMkuu, hawa utumishi naona hawataki tu kutoka MIKEKA mingine ya Usaili.. tatizo ni nn hebu nisaidie we Mbobezi wa haya mambo.
Kweli mkuu nimekupata.
Tatizo la kada zingine, nafasi ni rare sana kutoka. Unaweza kusubiri miaka kadhaa inakuja kutoka nafasi 1 tu
Na hivyo siku hizi ni mpaka Utumishi kama unataka kua TA interview ikikupita utakaa benchi sanaNi kweli sana Mkuu, kwa nafasi za aina hiyo kupishana na interview huwa kunauma zaidi.
Muhimu kupambana na kada za supporting pia hizi za TA ni hadimu mnoNa hivyo siku hizi ni mpaka Utumishi kama unataka kua TA interview ikikupita utakaa benchi sana
Labda nimebobea kukandwa mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].Mkuu, hawa utumishi naona hawataki tu kutoka MIKEKA mingine ya Usaili.. tatizo ni nn hebu nisaidie we Mbobezi wa haya mambo.
Hili nalo nenoMuhimu kupambana na kada za supporting pia hizi za TA ni hadimu mno
😂😂😂😂Hataki mwili upoe utumishi watakuja kuua mtuLabda nimebobea kukandwa mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Ratiba ya mwezi huu naona imetamatika, tuendelee kubet mwezi kesho kama kutakuwa na ratiba ya mikando tena.
Nahisi shortlisted ambazo hazijatoka zinaweza kutoka na kufanyika mwezi kesho halafu hapo tutasubiri placements mwakani au mwishoni mwa mwaka huu..
Bado una mikando mingapi mkuu?Labda nimebobea kukandwa mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Ratiba ya mwezi huu naona imetamatika, tuendelee kubet mwezi kesho kama kutakuwa na ratiba ya mikando tena.
Nahisi shortlisted ambazo hazijatoka zinaweza kutoka na kufanyika mwezi kesho halafu hapo tutasubiri placements mwakani au mwishoni mwa mwaka huu..
Uhandisi WA nishati ya umemeNafasi gani uliomba?
Duh..pole mkuuUhandisi WA nishati ya umeme
Huwezi kusoma vyote ila let's say ulisoma Economics komaa vya kutosha uelewe ile Economics 101.Wakuu nipeni mbinu ya kusoma ili nipambane vema hizi saili za UTUMISHI, maana nilisoma kitambo na material s yashaanza kupotea. Ninyi mnatumia mbinu gani
hata enterview sijaitwa mkuu,ila jf kwangu ndo nyumban kamwe siwezi kupasahauSawa Mkuu, ukipata ajira usitusahau kwenye hili jukwaa, angalau uwe unapita kusambaza faraja.