Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hii sio kweli hata kidogo. UDSM bado kwa nafasi za uhadhiri na technical staffs (za halaiki, walizotangaza hivi karibuni), bado hawajaita kwa ajili ya usaili.
Yaaah nadhan hawakunielewa.. UDSM bado wa Malecturer na Technicians staff kibao ambapo deadline ilikuwa August 1

Then Kuna SUA mkeka wa Technicians staff deadline ilikuwa 13 July.. So hii miwili nahisi mmoja wapo unaweza kutemwa huu mwezi October
 
Yaaah nadhan hawakunielewa.. UDSM bado wa Malecturer na Technicians staff kibao ambapo deadline ilikuwa August 1.. Then Kuna SUA mkeka wa Technicians staff deadline ilikuwa 13 July.. So hii miwili nahisi mmoja wapo unaweza kutemwa huu mwezi October
Nafikiri mikeka ya shortlists iliyobaki inaweza kuachiwa mwezi huu halafu mwezi ujao placements zianze kutoka.
 
Ajira ya nchii hii mateso kila hatua ni muda wa kutosha duh
Ndio maana maendeleao yanaende kama hayaendi.

Mtu akikuambia tulikuwa sawa na Japan kimaendeleo miaka hiyo(nyuma) hauwezi kumuamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…