Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,905
- 4,518
Hii sio kweli hata kidogo. UDSM bado kwa nafasi za uhadhiri na technical staffs (za halaiki, walizotangaza hivi karibuni), bado hawajaita kwa ajili ya usaili.Hata udsm tayari siku nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sio kweli hata kidogo. UDSM bado kwa nafasi za uhadhiri na technical staffs (za halaiki, walizotangaza hivi karibuni), bado hawajaita kwa ajili ya usaili.Hata udsm tayari siku nyingi
Sawa,huenda nimechanganyaHii sio kweli hata kidogo. UDSM bado kwa nafasi za uhadhiri na technical staffs (za halaiki, walizotangaza hivi karibuni), bado hawajaita kwa ajili ya usaili.
Hakuna aliyeongezwa.Ile nyingine imejazwaje/kapewa na nani?
Kwa hiyo hizo nafasi zitatangazwa tena au zimejazwa na walioko kwenye database..Hakuna aliyeongezwa.
Yaaah nadhan hawakunielewa.. UDSM bado wa Malecturer na Technicians staff kibao ambapo deadline ilikuwa August 1Hii sio kweli hata kidogo. UDSM bado kwa nafasi za uhadhiri na technical staffs (za halaiki, walizotangaza hivi karibuni), bado hawajaita kwa ajili ya usaili.
Nafikiri mikeka ya shortlists iliyobaki inaweza kuachiwa mwezi huu halafu mwezi ujao placements zianze kutoka.Yaaah nadhan hawakunielewa.. UDSM bado wa Malecturer na Technicians staff kibao ambapo deadline ilikuwa August 1.. Then Kuna SUA mkeka wa Technicians staff deadline ilikuwa 13 July.. So hii miwili nahisi mmoja wapo unaweza kutemwa huu mwezi October
Ajira ya nchii hii mateso kila hatua ni muda wa kutosha duhNafikiri mikeka ya shortlists iliyobaki inaweza kuachiwa mwezi huu halafu mwezi ujao placements zianze kutoka.
Ndio maana maendeleao yanaende kama hayaendi.Ajira ya nchii hii mateso kila hatua ni muda wa kutosha duh
Mkuu,kumbe we ni mchumi?doh miezi takribani minne mambo hola kweli nchi ya wachache hii
Mimi nimebakisha NAOT kwenye profile yangu, ndio naendelea kuisikiliziadoh miezi takribani minne mambo hola kweli nchi ya wachache hii
Me naamini kesho lazima watafufuka,, kwa Usaili wa kada fulanifulani.Mimi nimebakisha NAOT kwenye profile yangu, ndio naendelea kuisikilizia
Ajira ya nchii hii mateso kila hatua ni muda wa kutosha duh
Written uliyofanya ifm umesema ilikua multichice yote mzee? Vipi huwa inakuwa na majibu yanayofanan?Ajira ya nchii hii mateso kila hatua ni muda wa kutosha duh
😂😂😂😂😂 Multiple choice kama jibu A ni A tu mzeeWritten uliyofanya ifm umesema ilikua multichice yote mzee? Vipi huwa inakuwa na majibu yanayofanan?
Ni kweli ila wanadai zinakuwa tight ndo maana nimemuuliza😃😃😃😂😂😂😂😂 Multiple choice kama jibu A ni A tu mzee
😂😂😂😂Ubaya wa hizi yani huwezi kujieleza jibu ni moja tuNi kweli ila wanadai zinakuwa tight ndo maana nimemuuliza😃😃😃
Maaana wanakandwa mpaka na multiple choice mkuu
Soon tu majina yanatoka ya MDA so ondooa shaka..doh miezi takribani minne mambo hola kweli nchi ya wachache hii
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Multiple choice kama jibu A ni A tu mzee
😂😂😂😂😂[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
yaani hapo hamna longo longo hata msahihishaji hawezi hata kusema hili jibu lina kauzito fulani kama kwenye point za kujieleza
Hiyo taarifa mbona siioni kwenye IG page yao mkuu?Soon tu majina yanatoka ya MDA so ondooa shaka..
source from PSRS Ig page