Ilikuwa written hiyo Ijumaa ee, maana Oral ni keshomzigo bado hata mm nasubirii.
maana Oral tulipiga ijumaa.
ila tuliambiwa tuwe-tunapitiia website. mda wowote yanatoka kabla ya Oral.
So nikusikiliziiiia tu.
Oral kuna wengine trh 5 wengine trh 6 na 7Ilikuwa written hiyo Ijumaa ee, maana Oral ni kesho
Sawa mkuu, Kila la kheri nyote..Oral kuna wengine trh 5 wengine trh 6 na 7
Andaa nauli ya kutosha hapo zote ni Domdoh miezi takribani minne mambo hola kweli nchi ya wachache hii
Inatia kinyaa SanaTaifa la watu 60+ Million ,uwezo wa serikali ni kutengeneza ajira 20 za watu tu.
Pathetic
Hahahahaa sawa mkuu.Mkuu Mwifwa kama PSRS wakitoka mikeka siku lolote naomba unitag humu.. yaan kuanzia leo sitaki kuingia web ya PSRS Hadi nitakaposikia Kuna MIKEKA ya saili,, nimezira kabisa
Placement nishamuachia Mungu naona uwezo wangu umeisha niache mipango yake tu😂😂😂😂Hahahahaa sawa mkuu.
Mimi naichungulia kila muda zaidi ya wanaosubiri placements
Utapigwa surprise hutoamini, utaamuka unaogelea kwenye mrija kama teuzi za wanasiasa, usiku analala jobless anaamka anakuta Vieitee na wavaa suti wapo kibarazani kwake[emoji3][emoji3][emoji3]Placement nishamuachia Mungu naona uwezo wangu umeisha niache mipango yake tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂Kwamba nitaamka nipo kwenye vieitee hahhhhUtapigwa surprise hutoamini, utaamuka unaogelea kwenye mrija kama teuzi za wanasiasa, usiku analala jobless anaamka anakuta Vieitee na wavaa suti wapo kibarazani kwake[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ile ya level yetu lakini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba nitaamka nipo kwenye vieitee hahhhh
😂😂😂😂Kabisa lazima uote hata kama ni mchana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ile ya level yetu lakini
Level yetu ukiwa na kazi ni jambo la kujivunia kwa kiasi chake
Enzi nilipokuwa Internship, kitaa waliniona nina kazi, ruti za daily kuondoka asubuhi huku nikiwa napishana wengine kulikuwa na kavibe fulani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa lazima uote hata kama ni mchana
Utakuwa ni upotezaji wa muda na gharama. Kama huna vigezo vilivyowekwa unafanya maombi ili iweje?Hahahahaaa, omba mkuu hata kama huna hiyo upper second, zari linaweza kukuangukia kwa jema
Taasisi gani?Wadau.. Leo Kuna Pdf za Usaili.. Subirini jioni mtaiona mizigo
Betting?Wadau.. Leo Kuna Pdf za Usaili.. Subirini jioni mtaiona mizigo
Iwe NAOT sasa niweze kupumzikaWadau.. Leo Kuna Pdf za Usaili.. Subirini jioni mtaiona mizigo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]Iwe NAOT sasa niweze kupumzika