Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Unafuta ambacho hakikupi fursa mfano ukiwa na kweny portal umeweka vyet kuanzia BASIC mpaka certificate, diploma, kazi ikitoka ya kutaka certificate hutaweza kuomba
Ok nimekupata, Ila issue inakuja kwamba huwezi kushindwa kuomba kazi ya level za juu kuhofia zikitoka level za chini utashindwa kuomba.. Zimetoka kazi degree we Omba huwezi kuacha posts za kazi kibao zikupite hvhv hyo sio akili..!!
 
Umeshatumia portal hii ni changamoto kwa wengi huwez omba lazma job fail kaz inataka certificate nawe una diploma vyote vipo mfumo unakataa wakat ilibidi uchukue mfumo cheti kinacho takiwa mfano huwa wanaweka FTC/diploma ila bdo itagoma as cjui kwann
 
Hilo naekuelewa, Ina maana wanachohitaji wewe mwenye diploma kutokea certificate inakuhitaji kuomba kazi za Diploma tu ambayo ndio level yako ya juu..
Certificate huwezi kuomba.. hyo Iko poa kwao wanahitaji kuwe na same competition
 
Umeshatumia portal hii ni changamoto kwa wengi huwez omba lazma job fail kaz inataka certificate nawe una diploma vyote vipo mfumo unakataa wakat ilibidi uchukue mfumo cheti kinacho takiwa mfano huwa wanaweka FTC/diploma ila bdo itagoma as cjui kwann
Hii imeniitokea mimi, Kwa kifupi Mimi na apply za degree tuu,zile za diploma system haitaki kukubali kuomba..
 
Back
Top Bottom