Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu kuna mdau kawa shortlisted kwenye PDF , ile anaenda kwenye akaunti yake Ajira portal akakuta wanasema hajawa shortlisted kwa sababu haja certify cheti kimoja cha baraza , hii kesi anai solve vipi aweze kupatiwa namba ya mtihani wakuu ??
Ajaribu kuwasiliana nao maana namba za usaili huwa wanaweka kwe account yake na hata kule kwe written atatumia namba hiyo na si jina kesi hiyo inamana hana namba
 
Wakuu kuna mdau kawa shortlisted kwenye PDF , ile anaenda kwenye akaunti yake Ajira portal akakuta wanasema hajawa shortlisted kwa sababu haja certify cheti kimoja cha baraza , hii kesi anai solve vipi aweze kupatiwa namba ya mtihani wakuu ??
Kama kweli hajacertify…afanye hivo haraka alafu awatafute utumishi wampe namba
 
Back
Top Bottom