Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,859
- 4,539
Nakubali mkuu,, Huyu mtu akaifanya hivyo itakuwa roho ya kinyama tu.. na siku asijiroge kupita site zangu lazima nimpasue manati[emoji16][emoji16]Sasa mkuu anizinguuue kwa kosa gani. wakati barua inanitambulisha tu.
Na Trh 6. naenda nayo Dodoma tenaa.