Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asaivi lazima uende kiongozi tuombe uzima tu ,sema hawa watu wanatukanda sana aiseeh juzi niliulizwa swali kwenye oral ambalo sikutegemea afu huwa naliona nasema hili hawawezi kuuliza
Hahahaa. Tuzidi kuombeana mkuu.
Hawa watu(Utumishi, Waajiri) hawatabiriki aisee.
 
Week mbili za September zimekata bado mbili no placement za saili zote kuanzia mwezi wa Tano Nini kinaendelea,,,,,
Hii September imekimbia sana aisee.

Kidogo hii mikeka ya interview imetuweka busy ingawa giza kwa wanaosubiri placements za miezi ya nyuma.

Tuendeleze subira
 
Back
Top Bottom