Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongera sana na kila la kheri, ukawe mtumishi mwenye kuzingatia maadili na miiko ya kiutumishi.

Usisahau kuja kutujulia hali hapa ambao bado tunaendelea kupambania mrija wa Asali
Mkuu hapa sitatoka mkuu mie nitakuwepo kuwapa moyo wenzangu tusiokuwa na connection tupambane mkuu naanza na wewe mkuu usikate tamaa soma hizo theory na terminology mkuu maana ndo maswali ya utumishi komaa nayo unaweza Tenga hata dakika 20 kwa siku inatosha kupitia pitia hata vi types vya viruses
 
Sasa naanza kuamini ipo siku nitatoboa kama wewe umeweza bila connection
 
Back
Top Bottom