Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Ni kuendelea kuwa wapole tu ila mkuu una oral mbili umezipiga lazima moja wapo utachukuliwa kata veta na IAEUtumishi naona hawataki kutoa placement
Hivi ata veta muliambiwa muandike mada mkafundishe kwenye panel kama ile IAE?