Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Niliona kwenye mkataba wa utendaji kazi wa PSRS na wateja wake kuwa tangazo likipelekwa kwao watalifanyia kazi(kulitangaza) ndani ya siku 14.Hili ni sahihi Mkuu, kwa sababu inachukua karibu mwaka mzima tangu taasisi ipeleke mahutaji yake Utumishi mpaka kuja kuwapata.
Wengi huwa tunadhani tukiona tangazo ndipo muda taasisi husika imepeleka mahitaji yao, kumbe kuna kuwa na miezi imeshakatika, hapo bado kusubiri Saili zipangwe!
Kuchambua maombi ni kwa mwezi 1 tangu deadline iishe.
Ila kutokana na nyomi kubwa huo muda unakuwa hautoshi ndio maana shortlists zinatoka baada ya muda mrefu sana