Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Vijana Leo ndo msijisumbue tu kuhusu updates za PSRS.. Watumishi wote wako bize na Mechi ya Yanga majumbani kwao[emoji23][emoji23]
Hahahaaa.
Hivi wanapopandishaga matangazo usiku mnene, ina maana wanapiga kazi hadi usiku huo? naona wanafaidi extra time tu
 
Me kwenye kupandisha mafaili nashindwa kuelewa.. maana ni ngumu kukuta wamepandisha faili la Usaili au placements mda wa kazi.. ni kuanzia usiku wa saa 1 mpaka saa 3.

Tena siku Nyingine wanaweka weekend kama hii Leo, unaweza kuona kitu hichoooooooooooo
 
Basi sisi tuendelee kusubiri siku yeyote tu na muda wowote
 
Me kwenye kupandisha mafaili nashindwa kuelewa.. maana ni ngumu kukuta wamepandisha faili la Usaili au placements mda wa kazi.. ni kuanzia usiku wa saa 1 mpaka saa 3.
Tena siku Nyingine wanaweka weekend kama hii Leo, unaweza kuona kitu hichoooooooooooo
😂😂😂😂Ngoma zinatokeaga kama umeme ukirudi vile unaona dude hilooo
 
Me kwenye kupandisha mafaili nashindwa kuelewa.. maana ni ngumu kukuta wamepandisha faili la Usaili au placements mda wa kazi.. ni kuanzia usiku wa saa 1 mpaka saa 3.
Tena siku Nyingine wanaweka weekend kama hii Leo, unaweza kuona kitu hichoooooooooooo
Mchana network zinakuwaga busy maofisi mengi sio utumishi tu fatilia website nying za serikali matangazo mengi au updates nyingi zinafanyika usiku fatilia kuanzia leo

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mimi kama afisa mwandamizi wa mikando, leo tulikuwa busy na mechi ya Yanga, hivyo tuendelee kuwa na subiri hadi wiki ijayo
Wiki inayoanza kesho kutwa j3 placements zinakuwa kwa hewa so tuvute subira tu.

Kabla ya ijumaa mambo yatakuwa yamekwiva na miongozi mwetu hapa watakuwa wameshanyakuliwa na kubadilisha majina toka MA JOBLESS nakuwa PUBLIC SERVANTS
 
Wiki inayoanza kesho kutwa j3 placements zinakuwa kwa hewa so tuvute subira tu...... Kabla yq ijumaa mambo yatakuwa yamekwiva na miongozi mwetu hapa watakuwa wameshanyakuliwa na kubadilisha majina toka MA JOBLESS nakuwa PUBLIC SERVANTS
😂😂😂😂😂Tuombe Mungu tu haya mambo sio poa kabisa
 
Back
Top Bottom