Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hiyo ngumu sana na sijawahi kuona watu waombe alafu wasiite wachukue kwenye database

Miezi 6 imepita bila kuitwa interview mkuu.unadhani ni nini zaidi ya kusema tu hao wameamua kuchukua kwenye database yao?
 
Mbona nafasi ya Afisa Utumishi katika MDs na LGs zijaziona?, Pia nafasi ya Admission Officer ya Open hazipo. Miezi 5 tunapeana stress tu. Nchi hii.
Nafasi za accounts officers na accountants za lga pia sijaziona ?
 
Mkeka la MDA's & LGA's umepasuliwa mara mbili,. Awamu ya pili utahusisha wahasibu na wakaguzi wa ndani,. Awamu hiyo itahusisha mkeka wa NAOT,. Tuendelee kupiga msuli. Hatujui siku wala saaa.
 
Sawa mkuu, tupo pamoja
 
Me naamini hizo nafasi hawatoita tena,watachukua tu kwenye database
Ukiona wamechukua kwenye Database ujue hawatoagi announcement za position huwaga wanachukua automatically, na kama walitoa jua kwanza zile public announcement zimeshajazwa so za database zinakuwaga kimyakimya,so jua tu interview soon utaitwa kama uliomba kwa usahili.
 
Ok.ngoja tuendelee kuwa na matumaini mkuu
 
Kwa hali ilivyo sasa hivi utumishi wasipoita watu kwenye interview ni kama wametukanda tu na wakitukanda kwenye interview ni wametukanda tu inafika muda bora kuacha kila kiende...ikiwepo ipo ikiwa haipo haipo tu hata uitwe kila mkeka.
 
Kama
sio kila nafasi lazima muitweee... nyingine huchukuliwa watu wa Database
Kama kazi imetanangazwa basi ni lazima wataitwa Usaili hamna Cha database.. wanaochukuliwa database kazi hizo Huwa hawazitangazi.. kama taasisi inahitaji kwa mda huo Huwa wanapewa moja kwa moja.
So hata kama nafasi ni 1 but itaitwa tu
 
Naomba kuuliza MDA ni kirefu Cha Nini ndugu?
Mkeka la MDA's & LGA's umepasuliwa mara mbili,. Awamu ya pili utahusisha wahasibu na wakaguzi wa ndani,. Awamu hiyo itahusisha mkeka wa NAOT,. Tuendelee kupiga msuli. Hatujui siku wala saaa.
 
h

hata mchumi daraja la 11 .haipo mkuu
 
Mkeka la MDA's & LGA's umepasuliwa mara mbili,. Awamu ya pili utahusisha wahasibu na wakaguzi wa ndani,. Awamu hiyo itahusisha mkeka wa NAOT,. Tuendelee kupiga msuli. Hatujui siku wala saaa.

Hapo kwenye siku wala saa[emoji134][emoji134]
 
Back
Top Bottom