Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hawa jamaa hawako serious, naambiwa not shortlisted kwa sababu sikuambatanisha cheti cha chuo.. Imagine nyingine nilikua naitwa huko nyuma, kwamba nilikitoa wakati wa kuomba NAOT?
IMG_20221014_190322.jpg
 
Hawa jamaa hawako serious, naambiwa not shortlisted kwa sababu sikuambatanisha cheti cha chuo.. Imagine nyingine nilikua naitwa huko nyuma, kwamba nilikitoa wakati wa kuomba NAOT? View attachment 2387212
Hawa hawaeleweki nilishawahi kutwa na hii incident nilikua na positions mbili nimeomba moja imekubaliwa nyingine wananipa sababu hii.
 
Nitafanya hivyo .. kiukweli wasiponipa nafasi nitafuta acc hii kabisa, yani mtu unatumia muda wako kujiandaa then hata kuitwa ndo inakua magumashi
Watafute mzee kuna jamaa yangu aliwacheki wakamuita majina ya nyongeza
 
Back
Top Bottom