Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ni kweli mliambiwa tarehe 2?Tarehe 2 ishatembea, tumeliwazwa na kaPdf cha mabadiliko ya ratiba.
Tutege sikio na hii tarehe 3
AiseeeeeeeKumekucha acha tuone na leo
😂😂😂😂Sisi ni jobless lakini mwili unafanya kazi mzee au sisi ni walemavu?Jobless hadi utelezi mnautaka, sijui nguvu mnazitolea wapi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂Hahhhhhh suti yangu inabeba mpaka sabufa suti pana kama kibanda cha mpesa mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe na suti yako sio wa kukuamini
Tuliambiwa kati ya tarehe 2 hadi 5.Hivi ni kweli mliambiwa tarehe 2?
Hata alhamis zinatoka mkuuTusikilizie jumanne ijayo tu kama mtaalamu Watu wa tafiti alivyosema kuwa placement zinatoka jumanne
Tunavutwa sisi Sasa wasubiri mrija😂Aiseeeeeee
Hta km subira yavuta kheri sio kwa kusubiri huku !
Jobless wa dar wana aibu mno.Wazee jobless huu ndo mda wa kuchangamkia fursa ya ukosefu wa maji mitaa ya dsm
Ndio mkuuHivi ni kweli mliambiwa tarehe 2?
Pamoja na kuwa mwili unafanya kazi, jobless hawezi kumudu utelezi decent[emoji3][emoji3][emoji3].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi ni jobless lakini mwili unafanya kazi mzee au sisi ni walemavu?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhhh suti yangu inabeba mpaka sabufa suti pana kama kibanda cha mpesa mzee
Wanaoenda kufanya prac lazima majibu yatoke leo.Tuliambiwa kati ya tarehe 2 hadi 5.
Il wapo wenye kuthubutu piaJobless wa dar wana aibu mno.
Mkuu ninabeba maji mtaani hapa ndoo jero napata zangu kama aftatu siku za mwanzo nilikua napata Hadi elfu Tano day now vijana tumekua wengi Kila mtu anabebea mtu maji 🤣🤣🤣🤣Wazee jobless huu ndo mda wa kuchangamkia fursa ya ukosefu wa maji mitaa ya dsm
Huwajui psrs wewe ipo siku watakushangaza 🤣🤣🤣🤣Wanaoenda kufanya prac lazima majibu yatoke leo.
Huwezi kusema uyatoe kesho halafu utarajie mtu wa Mbeya, Mwanza aje hiyo hiyo kesho ili kesho kutwa akapige prac
Safiii😂Mkuu ninabeba maji mtaani hapa ndoo jero napata zangu kama aftatu siku za mwanzo nilikua napata Hadi elfu Tano day now vijana tumekua wengi Kila mtu anabebea mtu maji 🤣🤣🤣🤣