Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
HahahahaSawa mfanyakazi wa PSRS[emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaSawa mfanyakazi wa PSRS[emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂😂Hahahaha
Anza tako la chipanzee mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]Nyie jobless nauliza ni gari gani nzuri kwa jobless kama mimi kuanza nayo kununua?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂Hahhhhhh ngoja kesho niende showroom nikacheki kasubaru kanaenda bei ganiAnza tako la chipanzee mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
Post inataka watu wangapiSisi tulifika ORAL watatu, placement bado haijatoka, wawili status application inasoma SHORTLISTED, mmoja SELECTED FOR ORAL.
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂Kasema inataka mmojaPost inataka watu wangapi
Nasubiri feedback yako mtaalam[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitawaulizia mzee hao wenyewe wamechanganyikiwa tu kama Mimi yani utumishi sio watu aseeh
Haya mambo ya status hata hayaeleweki mwezi wa 9 nilifanikiwa kufanya oral interview mbili kwenye taasisi mbili tofauti baada ya mda status zikawa zinasoma kote SHORTLISTED. Baada ya kupita kama week mbili toka nifanye oral interview taasisi moja ikawa imetoa placement nmekandwa, status ikabaki inasoma shortlisted kwa mda lakini saivi imebadilika inasoma SELECTED FOR ORAL ile taasisi nyingine bado hawajatoa placement kwenye status panasoma SHORTLISTED.
Niliemuuliza ipo shortlisted na mwingine selected hao wengine hawapatikani
Ukiwapata nishtueNiliemuuliza ipo shortlisted na mwingine selected hao wengine hawapatikani
Ukiwapata nishtue
We nipe feedback tu, hata nikikosa si mbaya sehem yakupata ulaji ipo.poa sema hizi status achana nazo mzee zitakuvuruga bure kama moyo ni mwepesi
Ukiwapata nishtu
tunataka kabla hawajaitwa kazini ilikuwaje ,tunajua after placement inakuwa selected for oralKuna jamaa angu wako kazini inasoma selected for oral interview
Hivi PSRS huwa wanatoa nafasi kwa jobless kuuliza swali baada ya kukandwa?tunataka kabla hawajaitwa kazini ilikuwaje ,tunajua after placement inakuwa selected for oral
Ilikuwa hivohivo selected for oral interview. Mmoja alikuwa database na mwingine direct from PDF, kwahiyo msubiri PDF ndugu zangu life liendelee. Ukiweza kujisahau ndio utashtukia IMO [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tunataka kabla hawajaitwa kazini ilikuwaje ,tunajua after placement inakuwa selected for oral
Yeah unaomba kuuliza wanakubali na wanakujibuHivi PSRS huwa wanatoa nafasi kwa jobless kuuliza swali baada ya kukandwa?