Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Huu mjadala wa status tuliuhitimisha naona mnauleta kwa kasi ya mwanga.

Mimi nikitoka kwenye battle la kesho, sitahangaika na status, nitaiacha ijigeuze itakavyo, PDF(placement) ndio kitakuwa kitu pekee cha kukitolea macho
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kutoka kuuza genge hadi kulamba asali, jobless tunapitia vipindi vigumu sana
Kaka Wewe acha tu jamaa alikuwa km kapararaiz vile kwanza genge lenyewe sasa lilikuwa ukiliona unagundua jobless tunapitia mengi saivi kashasahau anakula cake ya taifa tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hili la Shortlisted na Seleçted for nimejaribu ulizia ulizia ipo hivi

Shortlisted: Umeorodheshwa either katika kazi husika au taasisi uliyofanya usaili mawili kupata kama marks zako zipo juu au kupata katika taasisi nyingine inayolingana na nafasi ya kazi uliyofanyia usaili wa oral

Selected for: Umechaguliwa na umehusika katika mchakato wa ajira hadi mwisho hapa sasa huenda pdf ya placement ikatoka kulingana na uharaka wa taasisi na hii hubadilika pia ,,,na kama umekosa pia hubaki shortlisted katika kanzi Data

Ukiona shortlisted jua mchakato umekamilika 100%

Ukiona ipo selected for mchakato unafanyiwa kazi pia unauwezekano wa kupata placement ikiwa hivyo hivyo ni uharaka na uhitaji uhusika kukamilika na kupeleka taarifa kwa watu wa IT
 
Hili la Shortlisted na Seleçted for nimejaribu ulizia ulizia ipo hivi

Shortlisted: Umeorodheshwa either katika kazi husika au taasisi uliyofanya usaili mawili kupata kama marks zako zipo juu au kupata katika taasisi nyingine inayolingana na nafasi ya kazi uliyofanyia usaili wa oral

Selected for: Umechaguliwa na umehusika katika mchakato wa ajira hadi mwisho hapa sasa huenda pdf ya placement ikatoka kulingana na uharaka wa taasisi na hii hubadilika pia ,,,na kama umekosa pia hubaki shortlisted katika kanzi Data

Ukiona shortlisted jua mchakato umekamilika 100%

Ukiona ipo selected for mchakato unafanyiwa kazi pia unauwezekano wa kupata placement ikiwa hivyo hivyo
sasa wewe ndo umekuja na majibu yakueleweka tukutane kazini
 
Ikiandika SELECTED FOR juu afu chini namba ya mtihani ile na timetable..umepata kazi
Kuna mwamba wamba kapata za TRA kanitumia status ilivokua kwenye a
 
Attachments

  • Screenshot_20221105-223959_1.jpg
    Screenshot_20221105-223959_1.jpg
    6.8 KB · Views: 24
Back
Top Bottom