Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

TUISHI HUMU ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ

Screenshot_20221029-194713-1.jpg
 
Ahsante sana mkuu.

Tupo tuna warm up hapa, mashambulizi yanaandaliwa na PSRS kutukanda kama kawaida yao.

Kaubaridi jepesi kameanza kuwarahisishia PSRS kazi hapa[emoji3][emoji3][emoji3]
Jiamini tuko nyuma yako kwa maombi mkuu. Nao ni binadamu kila kitu kinawezekana good luck.

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom