๐๐๐๐Huko ni balaa wanakanda bila hurumaHuku kwenye prac ndio hakuna lelemama kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐Huko ni balaa wanakanda bila hurumaHuku kwenye prac ndio hakuna lelemama kabisa
๐๐๐๐Hahhh mzee kwahiyo acha wakandwe au sio?Wataalam wa Cyber Security hatuna hapa TZ wengi ni kuunga unga tu ni sahihi wawakandee mpk wanye
๐๐๐Kugumu sana huku imagine mtu written anaongoza prac anakuja chzea za uso antoka na namba za viatu
Mzee we upo kweny system tyr nn?Wataalam wa Cyber Security hatuna hapa TZ wengi ni kuunga unga tu ni sahihi wawakandee mpk wanye
๐๐๐๐Mbona umeuliza kwa hasira hivyo haahhhh,aliyeshiba hamjui mwenye njaa kwakweliMzee we upo kweny system tyr nn?
Mzee we upo kweny system tyr nn
Naona anaongea maneno magumu sana jobless sidhn kama anawez kuongea maneno kama haya๐๐๐๐Mbona umeuliza kwa hasira hivyo haahhhh,aliyeshiba hamjui mwenye njaa kwakweli
Huyo sio joblessNaona anaongea maneno magumu sana jobless sidhn kama anawez kuongea maneno kama haya
Jobless hawezikuwa na roho ngumu kwa jobless mwenzieNaona anaongea maneno magumu sana jobless sidhn kama anawez kuongea maneno kama haya
KabisaHuyo sio jobless
Mkuu ufukwe gani huo.View attachment 2407681acha tutoe stress
Unataka ujasili kwa utumishi mzee??๐๐๐
Acha tu mwenyewe nashukuru interview yangu ilikua na Presentation hapo nina uhakika nilifanya poa ila haya maswali mengine ni kudra za Mwenyezi Mungu.
God bless you jobless mwenzangu katuwakilishe vyemaKila la kheri wote mlio na mkando leo.
Muungu akawe upande wetu
Ahsante sana mkuu.God bless you jobless mwenzangu katuwakilishe vyema
Jiamini tuko nyuma yako kwa maombi mkuu. Nao ni binadamu kila kitu kinawezekana good luck.Ahsante sana mkuu.
Tupo tuna warm up hapa, mashambulizi yanaandaliwa na PSRS kutukanda kama kawaida yao.
Kaubaridi jepesi kameanza kuwarahisishia PSRS kazi hapa[emoji3][emoji3][emoji3]
Yaaah wawakande tu.๐๐๐๐Hahhh mzee kwahiyo acha wakandwe au sio?
Be strong mkuu,on my way nakuja hapo mkando wa keshooo.Ahsante sana mkuu.
Tupo tuna warm up hapa, mashambulizi yanaandaliwa na PSRS kutukanda kama kawaida yao.
Kaubaridi jepesi kameanza kuwarahisishia PSRS kazi hapa[emoji3][emoji3][emoji3]