Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Haya tuendelee sasa nawashauri mnapoomba msaada muweke na job description maana issue sio maswali tu kuna notes ambao inatakiwa upitie zinazoendana na duty zako
Hizi hapa
Screenshot_20221107-150012_Drive.jpg
 
Sijui ningeita "Prok" maana kigugumizi kilitangulia.

Pale tulipokuwa tumekaa/tumesimama kwenye Tent mida ya mchana, mliitwa mkaanza kuitana na kuelekea upande wa Magharibi, mlitokea kwenye kale kaCafe mkatupita hapo mbele, mkawa mnaitana. Kuna wanaume walikuwa wamekaa nyuma ya Tent mmoja akaenda kuwaita, mimi muda huo ninapiga jicho la ukweli nikiwaza na kuwazua kuwa "Prok ni yupi hapa"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umekazana jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umekazana jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukute nilikuwa busy kukusaka wewe bila kijikumbusha point za kuwakanda PSRS, haya mambo...!!!
 
Back
Top Bottom